Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Tabora, Tumaini Gwakisa amesema Wizara ya Ardhi kupitia Mkoa wa Tabora imejiwekea lengo la kukusanya shilingi bilioni nne kwa mwaka kupitia kodi ya ardhi inayokusanywa katika halmashauri zote za mkoa.
Akizungumza Aprili 25, 2026 katika kipindi cha Kontena...