kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Simba wameingizwa choo cha kike, kocha Pablo ni magumashi

    Makolo mulibwanji?😄😄 NAWEKA REKODI SAWA JE PABLO FRANCO MARTIN, ALIWAHI KUWA KOCHA MSAIDIZI WA REAL MADRID? Taifa limeendelea kudanganywa kwa mara nyingine, naweza kusema hivyo bila shaka. Pia, udhaifu wa wachambuzi wetu katika kulipokea jambo fulani kisha kulifanyia utafiti wa kina...
  2. JamiiForums Tanzania Yule kocha wa yanga kutoka barcelona aliishia wapi?

    Imekuwa kurwa na dotto, Kipindi hiki Simba SC wamepoteana sasa katika kuwaweka sawa mashabiki wanadai kwamba wamechukua kocha wa REAL MADRID kocha wa RONALDO. Nakumbuka mwaka jana kipindi Yanga wamepoteana ikabidi wadai kwamba wana chukua kocha wa Barcelona Cedric 'Carzelona' Kaze Pia mwaka...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Sifa hizi za kocha mpya wa klabu ya Simba, zina msaada wowote kwa timu?

    Imekuwa kila kukicha tunaelezwa uzoefu wa mwalimu mpya wa klabu ya Simba kwamba ametokea katika kufundisha timu kubwa na kwamba anafahamiana na walimu wengi na wakubwa katika mataifa ya nje. Swali langu ni je; sifa na umaarufu wa mwalimu huyo unamchango gani kwa klabu ya Simba?
  4. C

    JamiiForums Tanzania kitenge agoma kureport kocha mpya wa sima

    Lile jamaaa kwa kweli Mungu alisamehe tu, limeweka mgomo bana linatafutaa angle mbaya ili liweze kutweet hapo roohoo inaliuma vibaya mnoooo Kamtafute ZUZU MSUKULE mpeane ideas jinsi ya kureport kama mnayokaaaga na kukubaliana ukireport habari za simba uwe unamuita Mo dewji BWANYENYE unaboa...
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo la Simba ya sasa ni kocha mzuri au wachezaji wazuri?

    Sioni namna Pablo kocha mgeni Simba atakavyoweza kupata matokeo mazuri kwa wachezaji waliopo Simba. Kocha ni wa kawaida na wachezaji ni wa kawaida pia. Pablo angekuwa kocha mzuri sana angeshanyakuliwaa na timu za Barcelona, Man U, au Tottenham zilizokuwa zinatafuta makocha wazuri. Ni kocha wa...
  6. JamiiForums Tanzania CV ya kocha mpya wa Simba Pablo

    Soka la Tanzania linakuwa kwa kasi sana. Inabidi sasa mambo ya ndumba na kutegemea wagaga wakienyeji tuachane nayo. Hii hapa ni website ya kocha wetu mpya wa Simba https://en.pablofrancomartin.com/ Wenzetu ulaya kila kitu kinawekwa wazi. CV yake hii hapa chini kwa ufupi tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Kocha mpya Simba SC Pablo Franco unalipa Mshahara wa Nabi, Kazi, Zahera, Manara na Bumbuli huku Chenji ikibaki pia

    Awali alitaka Mshahara wa Tsh Milioni 350 kwa Mwezi ila baada ya Majadiliano na Klabu aliyoipenda ya Simba baada ya Kusimuliwa na Timu ya Sevilla ya Hispania iliyokuja Tanzania kucheza na Simba SC sasa amekubali kupokea Mshahara wa Tsh Milioni 250 kwa Mwezi na mpaka sasa ameshalipwa tayari...
  8. JamiiForums Tanzania Mtazamo: Simba SC Wamekosea Kuajiri Kocha Asiye na Uzoefu wa Soka la Afrika.

    Sote tumeona aina ya Kocha ambaye ameajiriwa na Simba SC. Kocha ambaye amechukua nafasi ya Didier Gomes. Tukiamua kutumia jicho la tatu la kiuchambuzi kila anakubariana na mimi kuwa Simba SC inaenda kupitia changamoto nyingine ya kibahati nasibu. Uzoefu:- Yes anauzoefu wa kufundisha katika...
  9. JamiiForums Tanzania Simba kumtambulisha kocha wake saa mbili usiku huu

    Kupitia ukurasa wa klabu ya Simba kwenye mtandao wa Twitter, wametangaza kuwa usiku wa leo saa mbili watamtangaza kocha mpya! Hivyo mashabiki wakae mkao wa kula!! Unahisi kocha wa Simba atatoka nchi gani?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumjua Kocha Mkuu wa Ruvu Shooting FC inayocheza na Yanga SC leo Jioni kuna haja ya Kusubiria Matokeo?

    85% ya Maisha yake akitokea Kwake Mbweni kuja Mjini huku Kushinda muda Wote utamkuta amekaa na Watu tena Matajiri wa Timu ambayo leo anacheza nao Saa 12 na Robo Jioni pale Temeke Mkapa Stadium.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Simba tafadhali msimchukue yule kocha wa Mamelodi, please mtajuta sana

    Litakuwa kosa kubwa la karne narudia tena kosa kubwa mnoooo Mookoena huyo wa south africa au kocha yoyote msouth affrica hafai kabisa nasikia Pitso Mosimane kampigia pande hapo, do not hire him. Wa south africa haswa weusi wanatudharau sana , hata mitandaoni ukiona jinsi wanavyokandia leagues...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga ya sasa sio kipimo kizuri cha kumfukuza kocha wenu

    Kama timu itapoteza mechi yake dhidi ya Yanga ya sasa ijue kuwa sio uzembe wa kocha, wachezaji Wala viongozi, imefungwa na timu Bora nchini kwa msimu huu wa 21/22. Hivyo ni kosa kuwa kuchukuwa maamuzi dhidi ya kocha, mchezaji au kiongozi wa timu. Yanga Sasa isingetoka haraka vile kwenye ligi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Viongozi wa simba. Tuleteeni kocha haraka

    Kwa maoni yangu tu kwa muda mchache ninaongalia timu yetu pendwa ya simba sport club naona kabisa huyu kocha hamna kitu aisee tuleteeeni mtu km kishingo angalau. Ila huyu aibu zinakuja mbele yetu. Wadau wengine mlete maoni yenu kwa muda huu tu mchache mnao tazama huu mchezo wa simba na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Yanga mwajirini kocha wa viungo aliyetimuliwa na Simba

    Kwa kuwa mpira ni kazi mtu anaweza kufanya kazi mahala popote pale kama ambavyo tumejionea hivi karibuni kwa Senzo na Haji Manara. Huyu jamaa ni msaada mkubwa atawasidia Yanga hadi watashangaa kwanza anaijua kazi yake na nanaipenda pia ni mtoa hamasa kubwa nilikuwa namuona kwenye benchi la...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa kumbakiza Kocha Hitimana Simba SC na kumfukuza Kocha wa Viungo Zrane natamani leo tufungwe au 'tudroo' na Polisi Tanzania

    Kuna Vitu vya Kipumbavu mno vinafanyika Simba SC na naomba leo Simba SC tufungwe au tutoke tu Sare na Police Tanzania ili Hasira zangu za Kufungwa 'Kimipango' na Jwaneng Galaxy nizijumuishe na za leo Usiku nije na Uzi wa Kusema Siri za Upumbavu wote uliopo na unaoendelea Simba SC. Hivi...
  16. JamiiForums Tanzania Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Didier Gomes da Rosa, Thierry Hitimana kuwa kocha kipindi cha mpito

    Kwa kauli aliyoitoa ni Mo Dewji baada ya simba kufungwa nilijua tu Gomes hawezi kupona Nakumbuka kabla hajawa muwekezaji simba alitoa kauli kama hiyo Omog ambaye kwa sasa ni kocha wa Mtibwa Sugar nae akafungasha Bado Ole Guna Sosha sasa ili niwe na amani ya moyo.
  17. JamiiForums Tanzania Erik Ten Hag ndiye kocha sahihi kupewa Machester United

    Kama Manchester United wanataka kurejea zile enzi za Babu basi wamchukue huyu kocha hatari wa Ajax Huyu jamaa ni zaidi ya Pep kwa tactics, Mpira wa kisasa ili upambane na Chelsea na Liverpool unahitaji kocha mwenye uwezo wa Kufundisha mpira na kutumia vipaji na kuwajenga wachezaji wapya wawe...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Video: Lalamiko la Kocha wa Yanga halijaja "gafla" limeandaliwa. FF wasiliache lipite tu

    Baadhi ya viongozi wa timu hizi kubwa hasa Simba na Yanga wamekuwa na desturi ya kutengeneza mazingira ya kuonyesha kuwa wanaonewa pale mambo yanapoanza kuwaendea kombo kwenye mashindano mbali mbali kwa lengo la kutafuta huruma ya Mashabiki wao. Huu mkakati umesadia kuleta amani ya mda ndani ya...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kocha yupi atafukuzwa mapema?

    Ligi zikiwa zimeanza katika nchi mbalimbali duniani , je ni kocha wa klabu ipi unadhani Atafukuzwa mapema kutokana na mwenendo mgumu wa timu, au timu kumshinda uwezo. Je, kocha yupi unatamani afukuzwe mapema Ili kuweza kuokoa matokeo ya timu. Watford huko Epl yashamtimua kocha wao Xisco Munoz...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wale mnaosubiria Matokeo ya leo ya Yanga SC na Geita Gold huku mkijua Kocha wao Msaidizi Fred Minziro ni Yanga SC lia lia poleni sana

    Kocha Fred Minziro huyu huyu ambaye wakati akifundisha Ruvu Shooting na kuna Kipindi alifundisha Mbao FC na kila alipocheza na Yanga SC alikuwa anapanga Kikosi dhaifu na akifungwa anacheka na Kufurahia na kama akiona kuna Mchezaji ana Usimba au anaibania sana Yanga SC hampangi au anamtoa haraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…