kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chelsea yamfungashia virago kocha Thomas Tuchel

    Klabu ya Chelsea imemfuta kazi kocha wake Mkuu Thomas Tuchel kutokana na uwepo wa mwendelezo mbaya wa matokeo unaoikabili timu hiyo. Kufurushwa huku kumetokea masaa machache baada ya kupokea kipigo cha goli moja kwenye michuano ya UEFA kutoka kwa Dinamo Zagreb. Tuchel alijiunga na timu hii...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kocha Nabi leo umepoteza point 3 muhimu kutokana na selection ya wachezaji kipindi cha kwanza

    Uwezo wa yanga kuondoka na point zote 3 leo walikuwa nao isipokuwa kocha Nabi alipotea maboya kwenye selection ya wachezaji walioanza mechi hii, tunajua gael bigirimana na kharid aucho ni wazito na awana kasi kutokana na umri kitendo kilichowafanya azam kutawala katikati na kulisogelea lango la...
  3. JamiiForums Tanzania Azam FC yamtangaza kocha wake mpya, Mfaransa Denis Lavagne

    Klabu ya Azam imemtangaza Denis Lavagne (58) Raia wa Ufaransa kuwa Kocha wao Mkuu akirithi mikoba ya Abdihamid Moalin, Lavagne ana uzoefu na soka la Afrika kwa miaka zaidi ya 14 toka alipoanza kuifundisha Coton ya Cameroon (2007-2011) na baadaye USM Alger ya Algeria.
  4. JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba apunguze ujuaji, haijui Simba

    Bwana Zoran anatumia muda mwingi kuwaaminisha viongozi wa Simba SC pamoja na mamilioni ya mashabiki mtaa wa Msimbazi kwamba striker Dejan ni bonge la striker wa kutumainiwa katika kikosi cha Msimbazi msimu huu. Mpaka sasa, Dejan ameonesha uwezo sawa na wachezaji wetu wa ndani, kama bado anakitu...
  5. JamiiForums Tanzania KOCHA ZOLAN HAWEZI KUIFIKISHA SIMBA SC POPOTE

    Simuelewi kabisa huyu kocha na falsafa zake za kuwaweka benchi wachezaji kama Nyoni, Kennedy Juma, John Bocco ...ha2a ni wachezaji ambao hawajacheza mchezo wowote mpaka sasa nilitaraji angewatumia ktk mechi izi za Sudan ila ajabu hakuna mabadiliko. Ni wazi nimeona dalili za kocha huyu...
  6. JamiiForums Tanzania Kipigo cha magoli 9 chamfuta kazi Kocha wa Bournemouth

    Klabu hiyo imemfuta kazi Scott Parker aliyekuwa meneja wake ikiwa ni siku chache baada ya kufungwa magoli 9 - 0 dhidi ya Liverpool. Parker anakuwa kocha wa kwanza ndani ya Ligi ya England kufungashiwa virago tangu msimu ulipoanza. Taarifa iliyothibitishwa na Mmiliki wa klabu hiyo, Maxim Demin...
  7. M

    JamiiForums Tanzania TFF kumpelekea kipa Manula kocha mpya wa makipa Taifa Stars, Kaseja ni kuhatarisha hasa performance ya timu nzima kimatokeo

    Watu wa mpira tunajua kuwa kipa Aishi Manula na aliyewahi kuwa kipa wa Taifa Stars Juma Kaseja haziivi kabisa. Kaseja analalamika Manula mchawi na Manula nae kutwa hataki kumsikia Kaseja kwa madai kuwa ni mchawi na amekuwa akimuumiza mno walipokuwa pamoja Taifa Stars mwaka mmoja au miaka miwili...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli kwa hali ya kimpira tuliyo nayo Tanzania, kuajiri kocha MGENI ni kumzawadia mihela ya bure tu

    Kwa yeyote anayehusika na jambo hili ikiwa ni mchengerwa au karia ama mwingine yeyote akitumia akili yake bila kuipeleka likizo atakubaliana na mimi kwamba Kwa wachezaji wa timu ya taifa tuliyonayo sasa ni uharibifu wa mali za umma kuleta kocha Toka mataifa ya kigeni. Kama wadau wako serious...
  9. JamiiForums Tanzania TFF wamtema kocha Kim Poulsen

    TTF wamefikia makubaliano ya kuachana na kocha mkuu na benchi lake zima japo anaendelea kubaki katika timu ya vijana kumalizia mkataba wake. Taarifa isiyo rasmi Nsajigwa anaenda Yanga kuongeza nguvu benchi la ufundi la timu hiyo.
  10. JamiiForums Tanzania Mikel Arteta anaenda kuwa kocha bora wa nyakati zote. Arsenal imekuwa moto wa kuotea mbali

    Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kocha huyu kutengeneza upya timu iliyokuwa imeshapoteana. Mpaka wakati huu tayari ameshinda michezo minne mfululizo katika ligi ya Uingereza (EPL) na inatarajiwa kwamba katika miaka ijayo atabeba makombe yote ambayo timu yake itashiriki. Timu mbalimbali...
  11. JamiiForums Tanzania Wayne Rooney amshauri kocha wa Man United kutomuanzisha Ronaldo mechi dhidi ya Liverpool

    Nahodha wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amemshauri kocha wa timu hiyo, Erik ten Hag kutompanga Cristiano Ronaldo katika mchezo dhidi ya Liverpool. Tim hizo zinatarajiwa kukutana katika kipute cha Premier League, kesho Agosti 22, 2022. Rooney anaamini United inahitaji wachezaji...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wale mliomponda Habib Kiyombo kuwa hajui na Simba SC imechemka Kumsajili mmeona leo anayejua Mpira Kocha Paulsen amemuita Taifa Stars?

    Nami nawaambieni hapa hapa kuwa huyu Habib Kiyombo akituliza tu Akili na Kuacha Kucheza kwa Presha na Kujiamini atakuja kuwa Bonge la Mshambuliaji tena hata kuliko tuliokuwa na tulionao kwa sasa. Ukitaka kujua vyema Shughuli yake Uwanjani watafute Mabeki akina Yanick Bangala na Dickson Job...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Pongezi: Asante kocha Zoran Maki kwa kuligundua jipu lililokuwa likiisumbua simba kwa muda mrefu, Jonas Mkude.

    Ahlanbik: Kongole kwa kocha zoran maki kwa kupata ushindi wake wa kwanza katika ligi kuu ya NBC hapo nchini Tanzania dhidi ya Geita Gold. Pia pongezi nyingi kwake kwa kumtoa nje kabla ya kipindi cha kwanza kumalizika ,the so called "legend" ,Jonas Mkude. Ni muda mrefu sasa mchezaji huyo mlevi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kipigo cha Simba SC, kosa la kocha Zoran

    Ukiiangalia vizuri mechi hii unaona kabisa kocha wetu sidhani kama yupo vzr. Tshabalala siku hiyo alikuwa uchochoro kuliko hata Israeli kama ambavyo watu wetu wanamlaumu. Tshabalala goli la pili wenzake waliweka mstari kutengeneza offside trick yeye akarudi nyuma. Hii ni kutokuwasiliana vizuri...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga tumejifunza nini na uwezo wa kocha wa simba?

    UFUNDI WALIOUNESHA SIMBA kipindi cha kwanza hadi kufikia kupata bao la kuongoza ni tahadhali nzuri ya kujifunza kuelekea kuchukua bingwa mfululiizo. Huyu kocha wa SSC ni mzuri sana sana na inaonesha simba itaweza sana kuzifunga timu magoli mengi katika mechi zao kila watokapo uwanjani...
  16. JamiiForums Tanzania Kocha Man United afuta mapumziko ya wachezaji baada ya kichapo cha 4-0

    Kocha Erik ten Hag ameamua kufuta mapumziko kwa wachezaji wake wa Manchester United mara baada ya timu hiyo kufungwa magoli 4-0 dhidi Brentford katika Premier League. Licha ya kuwa watakuwa na siku nane kabla ya mchezo ujao dhidi ya Liverpool, Ten Hag amefuta mapumziko na wamekutana ili...
  17. JamiiForums Tanzania No Excuse: Try Again, Mangungu na Kocha waondoke Simba Sc

    Sina maneno mengi. Maandalizi,mipango ya mechi na mechi yenyewe yamefanyika hadharani kila mtu ameona. Mpira una matokeo matatu,lakini sisi sio wa kufungwa kila siku na Yanga. Kocha anafanya majaribio kwa Yanga,akaingia bila kuheshimu mpinzani. Mnatuhujumu waziwazi. Mnamuacha kocha anajifanyia...
  18. JamiiForums Tanzania Kocha Maki ashauriwe vizuri

    Kufungwa kwa Simba katika Derby ya jana ni makosa ya wazi yaliyofanywa na Kocha Maki Zoran. Aelewe tu kwamba wana Simba ni heri tufungwe na Namungo kuliko kufungwa na Yanga. Namungo wakitufunga chakula kinalika na hata kile chakula Kikuu kinalika fresh tu pia. Ila ikifungwa na Yanga haijalishi...
  19. JamiiForums Tanzania Kocha Yanga hajawahi kushinda mchezo wowote kimataifa

    Bonus Kocha kabla ya kuja Yanga alikuwa Al Merrick Sudan, ambapo mechi 2 za mwisho Simba 3-0 Merrick Merick 0- 0 Simba Dokezo Hiyo Somalia ni under 20 My Take Kukosoa huwezi labda uropoke
  20. JamiiForums Tanzania Tusidanganyane kwa Kiwango cha Vipers FC, Kiwango cha Wachezaji wa Uganda na Ubora wa Kocha Wao hata Simba SC nayo ingefungwa tu

    Kiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua Waganda, walivyowekeza katika Soka na kuwa very Serious hata Simba SC yangu ingecheza nao Leo nayo (...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…