The discography of Fatboy Slim, an alias of Norman Cook, an English DJ, big beat musician, and record producer, consists of four studio albums, three live albums, one soundtrack album, two compilation albums, three remix albums, six mix albums, three video albums, five extended plays, 28 singles (including one as a featured artist) and 31 music videos.
Mabondia wa Tanzania wengi ni machawa wa CCM , tangu waletewe hiyo knockout ya mama wanazidi kujimaliza kumsifia mama abduli na chama chao cha ccm.
Mwakinyo kwenye mkumbo huu kaukataa na mara kadhaa amekuwa akilaani matukio yote ya kihalifu yanayotokea hapa nchini haswa matukio ya kitekaji...
Siku ya jana pamoja na siku zingine nyuma, Tanzania imeshuhudia mashindano ya ngumi yanayojulikana kama “Knockout Ya Mama”, yakitajwa kuwa ni sehemu ya kukuza michezo nchini. Mashindano haya yamekuwa kivutio kikubwa kwa wananchi, hasa kutokana na zawadi nono zinazotolewa — ikiwemo shilingi...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuelekea pambano la Knockout ya Mama Season 6 ambayo itafanyika kesho Viwanja vya Posta Kijitonyama Jijini Dar...
Mi nauliza tu swali, mlianza kwenye comedy hadi mkampa tuzo, na wakasema mama ndio mchekeshaji wa kwanza😂😂 haya tukatulia.
Sasa kwenye Knockout ya Mama mtu akila kichapo inamaanisha kala kichapo kwaajili ya mama, au mama kala kichapo au walioshinda ndio wameshinda kwaajili ya Samia?
Mwisho...
Wakuu,
Haya sasa mmeletewa knockout ya mama huko, mkapigane kwaajili ya mama, aloo🤣🤣.
Naona huu uchawa ndio umekuwa sehemu za kumuondolea stress kwenye sekeseke ukatili wa polisi na haki za binadamu pamoja na kesi zinazofunguliwa huko dhidi ya Tz, asije akafa kwa presha🥲🥲.
Knockout ya Mama: Rais Samia aguswa na Dulla Mbabe, ampa Tsh Milioni 2 kama zawadi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa zawadi ya Tsh Milioni 2 kwa ajili ya Dulla Mbabe ambaye amepoteza pambano lake dhidi ya bondia kutoka Zambia.
Akizungumza katika tukio hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.