klabu ya simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Klabu ya Simba huwenda ikasusia mechi ya Dabi, waiandikia barua Bodi ya Ligi kisa mechi kupelekwa Zanzibar

    Wakuu Hawa Simba tuwenao karibu, wasije wakagoma bure kuvuka maji. Mr. Reporter amedai tayari wameandika barua ya kutafutia sababu zao baadaye. = Uongozi wa Simba SC umeiandikia barua Bodi ya Ligi (TPLB) kutaka kujua kwanini taarifa ya kuhamisha uwanja kutoka Benjamin Mkapa kwenda Amaan...
  2. Waufukweni

    Nini kinaendelea ndani ya Klabu ya Simba?

    Ni zaidi ya miaka minne sasa, mambo ndani ya klabu ya Simba yanaonekana kuwaendea kombo. Timu ambayo ilijenga heshima Afrika Mashariki na kutisha kwenye mashindano ya CAF, kila siku inaonekana kuzidi kupoteana. Pamoja na changamoto za kiufundi na usajili, kuna jambo jingine linaloonekana wazi...
  3. Waufukweni

    Tetesi: Kocha wa Gaborone United, Dimitar Pantev apewa miaka miwili Simba, kutua Dar Oktoba 4, 2025 kuziba pengo la Fadlu

    Kocha mpya wa Simba SC, Dimitar Nikolaev Pantev kutoka Bulgaria, amekubali kuanza rasmi kazi yake baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili hadi Juni 2027. Simba imelipa fidia kwa klabu ya Gaborone United ya Botswana ili kumuachia kocha huyo, ambaye anatarajiwa kutua jijini Dar es Salaam kesho...
  4. William Mshumbusi

    Washabiki Simba tuchukue hatua. Timu ni yetu wasisumbuke na makocha wa upigaji tunamtaka Mgunda

    Piga ua Tumlete Mgunda Kwa hiki kikosi kilivyo hakuna kocha mwenye akili timamu mzuri kutoka Nje anaweza kukiongoza kikosi hiki. Piga Ua Tumlete Mgunda Mo alimtaka sana mgunda ila Wajumbe wa bodi hawakumtaka. Kila kocha mgeni Wajumbe wanapiga ela za mkataba. Jamani Tunamtaka Mgunda...
  5. DuaZaMama

    Utambulisho wa Rushine De Reuck wanasimba wavutiwa na jezi

    Simba wamemtambulisha rasmi Rushine De Reuck. - Nyota huyu wa kimataifa wa Afrika kusini na klabu ya Mamelodi Sundowns anakuwa mchezaji wa kwanza kutambulishwa rasmi kwa mashabiki wa Simba. Kilichowavutia watazamaji wengi katika chapisho Simba kumtambulisha mchezaji huyo katika ukurasa wao...
  6. Waufukweni

    Simba yasaini mkataba wa Tsh. bilioni 20 na Betway kama Mdhamini Mkuu kwa miaka 3

    Klabu ya Simba ana Jambo kubwa zaidi kuwahi kutokea Afrika, leo Wanasaini dili na mdhamini Mkuu BetWay baada ya M-Bet kusitisha Mkataba wake. Wakati huo huo wametangaza kuwa Kikosi chao kitaondoka kesho Jumatano kuelekea Ismailia, Misri kwa ajili ya maadalizi ya msimu ujao wa 2025/26. Kaa...
  7. Waufukweni

    Simba yapewa ruhusa rasmi kufanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Mkapa kuelekea Dabi Juni 15

    Klabu ya Simba imeruhusiwa kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 14 Juni 2025, siku ya Jumamosi ambayo ni siku moja kabla ya mechi ya 'DABI' dhidi ya Yanga SC. Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo imewaandikia barua hiyo hapo juu klabu ya Simba ambayo ndiyo klabu mgeni kwenye...
  8. Waufukweni

    Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
  9. Kekule Wa Benzene Ring

    Mdhamini mpya wa Jezi wa Klabu ya Simba aliwahi kutuhumiwa kwa makosa haya

    Kwanza nimpongeze Mtanzania mwenzangu Joseph Rwegasira Samson kwa kushinda tenda ya kuzalisha jezi za mnyama. Pili niwapongeze SIMBA SC Kwa Mkataba mnono WA jezi wenye thamani ya BILLION 38.6 Kwa Miaka mitano. Ukiwa pamoja na Extra bonuses kama vile Ujenzi wa uwanja...Media production...
  10. Waufukweni

    Mwigulu Nchemba aipongeza klabu ya Simba bungeni na kuipigia debe

    Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha aipongeza Klabu ya Simba bungeni; "Lakini tulisaini mkataba na federation, tutatumia ile, tutavitumia vilabu vya Simba na Yanga vina walipa kodi wengi wafuasi wengi ili viweze kusaidia kutoa elimu pamoja na michezo yote itumike katika kutoa masuala ya kuelimisha...
  11. DELETED ACCOUNT

    Klabu ya Simba ndiyo mlango wa ustaarabu katika mpira wa Tanzania

    Labda hawa watoto wa 2000 ndiyo hawajui ila embu tuwape darsa kidogo kuhusu historia iliyotukuka na isiyoweza kufutwa na yeyote ya kuingiza na kukuza ustaarabu katika mpira wa Tanzania. Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa jezi nchi hii. Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa viatu vya...
  12. Waufukweni

    Tetesi: Inadaiwa Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 30 na mzabuni wa utengenezaji Jezi

    Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club. Inatajwa ni mkataba wa miaka mitano na ni kampuni ya Kitanzania. Pia, Soma Kampuni ya Umbro yaomba tenda...
  13. Waufukweni

    Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi

    Wakuu Ubaya Ubwela umewageukia! Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi Tazama video hii ya tukio husika Mwendelezo: Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...
  14. Scared

    Klabu ya simba inachofanya ni utapeli serikali iingilie kati wajinga wanaibiwa

    Viongozi wa hii taasisi wameanzisha kampeni ya utapeli ambayo sisi kama raia wema tunaomba serikali yetu tukufu iingilie kati sababu raia masikini wanakamuliwa bila kujitambua yaani wanampa tajiri pesa unaambiwa wanachangisha milion 100 ila je inayozidi inaenda wapi kama sio Kwa matapeli ambao...
  15. Roving Journalist

    Klabu ya Simba yalaani vurugu zilozofanywa na Klabu ya CS Sfaxien jijini Dar

    Klabu ya Simba inapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa; Tarehe 15 Desemba 2024, katika mchezo wake wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika uwanja wa Benjamin Mkapa, zilizuka ghasia zilizoanzishwa na timu pinzani licha ya kupokelewa na kupewa...
  16. U

    Kwanini jezi namba 9 klabu ya simba haivaliwi na mchezaji yeyote kwa miaka mingi? mara ya mwisho jezi hiyo alipewa mchezaji felix sunzu

    Kichwa cha habari chahusika Karibuni
  17. M

    Tetesi: Klabu ya Simba SC ipo mbioni kuhamishia mechi zake uwanja wa AZAM complex- Chamazi mara baada ya Yanga kuhamia KMC complex

    Ili kuonesha kuwa siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Kuna tetesi kuwa klabu ya Simba sc imeamua kuhamishia mechi zao za nyumbani katika uwanja wa Azam complex ili kupishana na mahasimu wao wa jadi klabu ya Yanga Ambayo imeamua kuuhama uwanja huo bila ya kutoa sababu maalumu mara baada ya...
  18. K

    Poleni sana wapenzi wa klabu ya Simba

    Kwa wiki nzima kaulimbiu ya wapenzi wa Klabu ya Simba "YANGA HAWATOKI SAFARI HII KWA USAJILI HUU ULIOFANYIKA" lakinI pamoja na kaulimbiu yenu Yanga wametoka na mmefungwa. Lawama zote zimuendee kipa CAMARA. Mpira uliopigwa na Chama kwa asilimia 100 ulikuwa unatoka nje sasa mbwembwe za nini...
Back
Top Bottom