Kiwanja kizuri sana, Kipo karibu na barabara Kubwa ya lami.
Ukubwa wa Kiwanja - Mita za Mraba 400 (Unajenga na Nyumba ya Vyumba 3 na eneo linabaki kwa matumizi mengine i.e parking)
Bei - Tshs Milioni 15 [ Maongezi yapo]
Uhalali wa Umiliki wa kiwanja; Leseni ya maudhiano ya serikali ya mtaa...