kizazi cha leo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Donatila

    Watoto wa 'single mama' kizazi cha Leo kisicho na malezi

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu... Jamani ukweli acheni na usemwe, kama Kuna watoto ambao hawana maadili huko mtaani basi kabisa ijulikane ni watoto ambao wamelelewa na single mama... Nasemaje hili kundi la wanawake ambao wamezaa tu bila kuwa na wanaume hao...
  2. Last_Joker

    “Kuondoka Kwenye Imani ya Dini: Kutoroka Mfungo au Kukosa Uelewa?”

    Kuna kipindi kijana anakua kwenye familia ya dini, amelelewa vizuri, kila Jumapili au Ijumaa yupo kanisani au msikitini, anajua kusali, anajua kusamehe, anajua kujizuia na makatazo ya imani… lakini ikifika miaka ya 20s, game inabadilika. Ghafla unamkuta yuko TikTok akisema “Mimi sio mtu wa dini...
  3. Damaso

    Je, kwanini kizazi cha leo kinakumbwa na changamoto za kiafya za kutisha?

    Katika miaka ya hivi karibuni, tumezidi kushuhudia ongezeko kubwa la matatizo ya kiafya kwa watoto na vijana. Kuanzia mwaka 2000 hadi sasa, imekuwa kawaida kusikia watoto na vijana wakikumbwa na magonjwa ya uzazi, matatizo ya afya ya akili, matatizo ya kimwili kama vile unene kupindukia, na hata...
  4. mdukuzi

    Kizazi cha leo kisingeweza kumtoa mkoloni nchini,Tanzania ingekuwa ya mwisho kupata Uhuru

    Ingekuwa ukoloni bado upo Africa,Tanzania ingekuwa nchi ya mwisho kupata uhuru Watu ni waoga sijapata kuona
  5. Carlos The Jackal

    Kutoka mitandaoni ,kutana na Mmoja ya wanaume wapuuzi wa kizazi cha leo

    Mnajua Wanawake wanatuhitaji sana sisi wanaume ndicho kitu walichoumbiwa. Mwanamke inabidi ndio awe mwenye Furaha sana pale unapomwambia Ninakuoa !!. Et waoo kasema ' ndio' , Kwa lugha nyingine Jama alikua Kwa Mahusiano ambayo bado Demu alikua na Option nyingine !!. Hivi inakuaje Mwanaume...
  6. G

    Amka usingizini, Sio kila aliefanikiwa kateseka, Pigana ufanikiwe uanzishe kizazi chako kifanikiwe bila mikiki mikiki

    Kuna misemo kwamba ukiona bosi kakalia kiti cha kuzunguka (lugha ya mafumbo kutoboa) ujue kafanikiwa, fanya kazi kama mtumwa uishi kama mfalme, n.k. Hio misemo ni kwajili yetu tuliotokea familia duni, ili kutoboa ni lazima upambane sana aidha usome sana ubahatike kuajiriwa sehem yenye maslahi...
  7. Samia atosha tukutane2030

    Inasikitisha kizazi cha leo hakijui ishara

    Hello! Ishara ni kitu muhimu sana, ishara sio ushirikina. Kwa wenye huduma ya kinabii watanielewa zaidi, maana Iinafanya kazi kwa ishara mostly. Ipo sauti ya moja kwa moja, yapo maono ya moja kwa moja kwamba hayahitaji tafsiri. Zipo ndoto za moja kwa moja lakini mara nyingi Mungu huongea kwa...
Back
Top Bottom