kiwete

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Father of All

    Huu moto aliouwasha na sasa kuuchochea tena kwa mafuta Samia na Kikwete wataweza kuuzima au utawaunguza kama siyo kuunguza taifa?

    Nimeangalia na kusilliza hotuba mbovu, ya mipasho, ubabe na ukosefu wa busara ya rais leo. Nimesikitikaka. Nimekwazika, nimchukizwa, na kuhuzunishwa namna Idi Amin Mama alivyoipoteza fursa ya kutibu taifa. Kwanza, ameongea pumba kwa kusingizia na kushutumu nchi za kigeni bila kutoa hata chembe...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    DC Magoti unataka kuwafanya wenzako viwete kwa kutetea haki zao. Wewe aliyekufanya kiwete ulikuwa unatetea jambo gani muhimu?

    DC MAGOTI UNATAKA KUWAFANYA WENZAKO VIWETE KWA KUTETEA HAKI ZAO. WEWE ALIYEKUFANYA KIWETE ULIKUWA UNATETEA JAMBO GANI MUHIMU? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Magoti kiukweli umenifurahisha sana uliposema utawageuza watu wawe viwete. Naamini upo proud kuwa hivyo ulivyo. 2. Sijui historia...
  3. kaputula

    Wapambe na chawa ndani ya CCM wamekanyaga katiba ya chama

    Wapambe na chawa ndani ya CCM wamekanyaga katiba ya chama ili mtu aliyepewa ugombea mwenza kwa kubebwa kwa dhana ya viti maalum aendelee kuongoza nchi. Tulitegemea wanaCCM kupewa fursa kumpata mtu mwingine mzalendo mwenye maarifa na jasiri kama Magufuli ili kuweza kugombea na kuchukua urais wa...
Back
Top Bottom