kiwangwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwami Ntilubhazwa

    Plot4Sale Mashamba Bagamoyo Chalinze

    Kwa anayehitaji Mashamba pori Wilaya ya chalinze na Bagamoyo kwa ajili ya kilimo,ufugaji na ujenzi anichek 0626431257. (MWAVI,KIWANGWA,TALAWANDA,MSATA,MWETEMO,MASUGURU,NK) WHATSAPP/CALL:- +255626431257
  2. Shuku_

    MANANASI na MACHUNGWA yanauzwa bei gani ya jumla huko kiwangwa?

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Kwa anayefahamu bei ya jumla ya MANANASI na MACHUNGWA kutoka kwa wakulima wa KIWANGWA- CHALINZE naomba anijuze. Natanguliza shukrani 🙏🏽🙏🏽
  3. M

    Utajiri ndani ya kilimo cha nanasi Kiwangwa

    Zao la nanasi ni zao ambalo kiasili ni zao linalovumilia ukame na ni zao ambalo la kibiashara lenye faida kubwa. Kwa hapa Tanzania yapo maeneo mengi ambapo zao hili la nanasi linastawi ila katika mji wa KIWANGWA-BAGAMOYO zao hili linastawi zaidi kutokana na hali ya mwinuko wake kutoka usawa wa...
Back
Top Bottom