kitunguu swaumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Kwa watalam wa tiba asilia. Je mtoto wa miaka 2 anaweza kutumia kitunguu swaumu?

    Habari wakuu. Jez mtoto wa miaka 2 anaweza akatumia kitunguu swaum kumeza?? Nataka nianze utaratibu wa mtoto wangu awe anameza nusu punje ya kitunguu swaum asubuhi kabla ya kula chochote. BabaVladimir [USER=227987]BIN NUN @At el
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mchanyaniko wa Kitunguu swaumu, kituu maji ,karafuu una faiga gani kwa afya ?

    Nasikiia watu wanatumia sana hii kitu. Je inafaida zozote kwa afya ya binadamu? Naomba ushauri wenu.
  3. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, kuweka kitunguu swaumu ukeni ni tiba Fangasi ukeni? Ni salama?

    Wakuu, Msaada kwa ufafanuzi tupate ufahamu wa haya madai, kwa kawaida nafahamu ukeni kuna bakteria ambao ni muhimu kwa usafi na ni kama walinzi wa uke dhidi ya infections ndogo ndogo
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kitunguu Swaumu kinavyoweza kusaidia kutibu majipu

    Jipu ni maambukizi ya bakteria kwenye ngozi yanayoonekana kama chunusi kubwa iliyojaa usaha. Huanza kama uvimbe unaoonekana kisha hujazwa usaha, pia linaweza kusababisha maumivu makali. Kitunguu saumu kibichi kinaweza kuwa na sifa za kuua vijidudu zinazosaidia kuponya majipu na kuzuia...
Back
Top Bottom