Nimechunguza mengi sana ndani ya ndoa. Kabla hujaoa ulikua huru kwenda na kurudi muda wowote na tabia za kibachela. Ndugu jamaa walikua huru kukuomba na kuwasaidia bila vikwazo vingi.
Ukishaoa kijana lazima ubadilike ili uendane na mwezio, yaani uache tabia ulizokuwa nazo unaze kuishi kutokana...