Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Prof. Kitila Mkumbo, ambaye ni mwanazuoni mbobevu na mkazi wa Ubungo kwa zaidi ya miaka 20, kesho atazindua rasmi kampeni zake kwa jimbo hilo.
Prof. Kitila ambaye anapewa nafasi kubwa ya kuwa mshindi wa jimbo hili, atazindua...
Nimeona mkutano wa Kitila Mkumbo Ubungo Maji, kwa idadi ya watu alionao na kwa nanmna viongozi wa ccm wa mashina wanavyotumia nguvu kumnadi na kuamasisha wanachama wahudhurie mikutano yake sidhani Kama atapata hata kura elfu mbili, ukiona unakosa mvuto kwa wananchi Wanaokuzunguka hata Salam...
HABARI,
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC mapema tarehe 25 Agosti 2020 ilimteua Ndugu MWAKASAKA BOAZ DONARD kuwa mgombea ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Sauti ya Umma (SAU). Mwakasaka ni mtaalamu wa masuala ya Uchumi na Maendeleo ya kijamii ameahidi kutokomeza yote yaliyoshindikana katika...
Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob amemuwekea pingamizi mgombea wa CCM Prof. Kitila Mkumbo akitaka msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo kumuondoa Prof. Kitila kwa kile alichodai kukosea kujaza fomu za uteuzi.
Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa wagombea wote watakaoteuliwa kugombe Urais kuanzia, CCM, CHADEMA , ACT - Wazalendo nk ili tuwapime kwa...
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo, amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kimteue ili aweze kugombea Ubunge katika Jimbo la Ubungo kupitia CCM.
Nimepata habari nikiwa safarini kutoka Kyela kuja DSM kwamba eti wewe Kitila Mkumbo umemkimbia Mwigulu kwenu Iramba na kuja kujaribu bahati yako jimbo la Ubungo , Nakukaribisha , lakini nakutahadharisha kwamba Ubungo si Jimbo jepesi na hasa kwa wanasiasa wasaliti kama wewe .
Mtoto wa Mjini ...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Ubungo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu kupitia Chama Cha Mapinduzi.
====
Kitila Mkumbo ni muhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ana phd ya Saikolojia, Maters ya Elimu...
Habari zenu wakuu wangu?.(Mh.Lowata Ole Sanale- Mkuu wa mkoa),Mh.Regina Chonjo-Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Katibu Mkuu wizara ya Maji Mh.Kitila Mkumbo na wote mnaohusika bila kuwasahau Wana-JF mtakaounga mkono uzi na andiko hili muhimu.
Bila shaka ni wazima wa Afya
Kuhusiana na kichwa cha...