kitchen party

Denis Kitchen (born August 27, 1946) is an American underground cartoonist, publisher, author, agent, and the founder of the Comic Book Legal Defense Fund.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mpasuko wa Ndani: Jinsi Kitchen Party Gala na Vikao vya Wanaume Vinavyotumika Kama Mpango wa Siri wa Kusambaratisha Mshikamano wa Familia

    Taifa linaelekea wapi? Hivi hatuna watu wenye akili, hekima, busara, tafakuri na maono ya kukemea haya mambo? Tunataka tuwarithishe nini watoto wetu? Mshikamano au utengano? Hivi tunajua madhara yake kiroho na kijamii? Hivi mpaka viongozi wa kidini hawaoni kwamba nyuma ya pazia la sherehe za...
  2. JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako Habarini Wakuu, Naweza kuwa tofauti na wengi, naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa, lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. Ni suala litakalo iweka...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake mnaachika kwa sababu zile zile: Ndoa zenu zitadumu mkifanya wanaume makungwi kwenye Kitchen Party zenu

    Miaka inasogea, teknolojia inapaa, lakini ndoa na mahusiano kati ya wanaume na wanawake yanazidi kuyumba. Na hapa sina haja ya kuchagua maneno mazuri: hii siyo ajali ya ghafla, ni kosa la kurudia rudia, kizazi baada ya kizazi. Na kama tukiweka kisogo kwenye ukweli, tutabaki tukitafuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…