kisogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. thegreat1510

    JamiiForums Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

    ‼️UASILI WA DEO NDEJEMBI KUMBE UNA UZANZIBARI‼️ Kumbe Mama yake Ndejembi ni Mpemba anayeishi London? Eh watu mna siri! Alafu TISS bana mnamkubalia kimama amteue alafu mnakuja kutulalamikia pembeni Sasa wamemwaga data ila mambo kadhaa muhimu: 👉🏽Deo Ndejembi ni mjukuu wa Mzee Ndejembi ila...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Kombo: Rais Samia amesemwa na kuchorwa sana baada ya uchaguzi, wakati amefanya kazi kubwa kutulinda kuwa na uhai

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa siku za hivi karibuni Rais Samia amekuwa akisemwa na kuchorwa sana na lawama zote kupewa yeye kutokana na matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi, wakati rais alifanya kazi kubwa ya kikatiba...
  3. S

    JamiiForums Mamlaka zimelipa kisogo suala la kupambana na mapenzi ya jinsia moja.

    Wana jamvi "Tumsifu Yesu kristu, Asalaam aleykum , Bwana yesu Apewe Sifa"! Naiomba serikali yangu JMT iamke, Nimeshangazwa saana na Ongezeko la mashoga mtaani tena wakitembea kwa madaha kabisa, yaan mpaka mtoto wa shule ya msingi ana nyoosha kidole shoga yule...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Mkumbusheni Rais Samia, Mungu atamkasirikia na kumpa Kisogo endapo ataendelea Kugawa mamilioni Kwa Hawa Manabii Feki!!

    Ikiwa ni Mungu pekee Ndiye agawaye Mamlaka Kwa watu. Ikiwa ni Mungu pekee ndie anahitaji Mtawala kuyatenda yaliyo mapenzi yake. Katika Dunia hii ambayo Shetani na Mawakala zake wako kwenye vita Kali dhidi ya Kanisa. Basi Mtawala yoyote yule ambaye Mkono wake utachangamana na BABELI katika...
  5. Blender

    JamiiForums Serikali Toeni Elimu Visiwani waache Tabia ya kuzuia watoto wachanga Wasipate VISOGO!

    Kitendo cha kuvibonyeza, kuvikandamiza vichwa vya watoto wachanga ili kuzuia kichogo, bila kutumia wataalamu wa afya, hii inaweza kusababisha hitilafu ya ubongo Kwa Mtoto. Na Kwanza kitabibu hairuhusiwi kufanya kitendo kama hicho. Serikali kupitia wizara ya AFYA, toeni elimu ya kutosha, hasa...
Back
Top Bottom