kishirikina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya mtu hai kishirikina

    Wengi wetu wamefanyiwa mazishi wangali hai. Wapo hai lakini kiroho wamezikwa na wanateseka sana. Unapozikwa hai kishirikina unapoozwa na kufifishwa nyota yako. Unapozikwa hai kishikirina kinga zako za kiroho zinapungua nguvu hivyo hakuna rangi utaacha kuona. Vitu vyenye vinasaba nawe ni muhimu...
  2. Robidinyo

    JamiiForums Tanzania Mzimu Nyangeta uliopo katika mji mdogo wenye mambo ya kishirikina na utajiri wa kishirikina uitwao Lamadi

    Nimefika pembeni kidogo ya haka kamji ka kibiashara nimekutana stori za kuogofya kuhusu ushirikina. Ni Mwezi uliopita kamanda Kova alidhuru kwenye haka kamji Kulikua na wimbi la watoto wa kike na akina mama kuuwa na viungo vyao kukatwa, kisha kuvipeleka kwa Waganga ili kujipatia utajiri Basi...
Back
Top Bottom