kishindo

Paul Kishindo (1952 – December 1, 2020) was a Malawian sociologist, professor of Rural Sociology and former Dean of Social Science at University of Malawi Chancellor College Dr. Kishindo is well known in Malawi and internationally for his work on rural sociology in Malawi.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nape aongoza kwa kishindo Mtama

    Hatimaye Nape kawasha Moto huko Mtama katika kata 19 kati ya 20 matokeo ni haya 1. Nape kura 3,160 2. Nahonyo kura 1,545 3. Chilumba 824 4. Jemadari Saidi 358
  2. JamiiForums Tanzania Kwa huu mnyukano ndani ya CCM kama CHADEMA Ingeshiriki uchaguzi ingeshinda kwa kishindo kama uchaguzi wa 2010

    Uchaguzi wa 2010 CHADEMA ilipata matokeo mazuri sababu CCM ya wakati huo ilikuwa imepoteza imani kwa wananchi. Na kulikuwa na mpasuko na makundi makubwa. Mwaka huu kwa CHADEMA hii ambayo inakubalika na huu mparaganyiko ndani ya CCM CHADEMA wangeshinda kwa kishindo na kupata viti vingi zaidi ya CCM
  3. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Yanga tuhakikishe mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hassan anashinda kwa Kishindo ili Yanga izidi kuwa tishio

    Nimetafakari sana nimeona kwa maslahi ya Yanga, bora nimuunge mkono mama Samia Suluhu Hassan ili kuendeleza wimbi la mateso kwa watani wetu. Wana Yanga kipindi mnafanya maamuzi fikirieni timu yenu. #NOREFORMS_NO_ELECTION Asante.
  4. JamiiForums Tanzania DC Lindi Akamilisha Ziara Kata kwa Kata Jimbo la Mchinga kwa Kishindo

    _WANANCHI WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MIRADI YA MAENDELEO _ Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Charles Mwanziva amehitimisha kwa kishindo ziara ya kikazi Kata kwa Kata katika kata zote za Jimbo la Mchinga- Lindi Manispaa ikiwa ni muendelezo wa ziara ya Wilaya nzima ya Lindi katika majimbo matatu ya...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa ndio miamba wawili wanaotarajiwa kushinda ubunge kwa kishindo

    Hawa ni wabunge watarajiwa katika Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025-2030 Mmoja aliyevalia fulana nyeupe atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi KIGOMA MJINI na mwenzie aliyevalia t-shirt nyeusi atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi Jimbo la mvomero. #KAZI NA UTU, TUNASONGA...
  6. JamiiForums Tanzania Makonda kuwa Mbunge - Arusha mjini namuunga mkono kwa asilimia mia, na atapita kwa kishindo

    Wana JF habarini..!! Sio kawaida yangu ku post post thread humu JF kwa hivi karibuni, ila nimekuwa mchangiaji mkubwa kwa njia ya kutoa maoni kwenye thread zingine nyingi tu, ila leo moyo wangu umenituma toka ndani kabisa, nipaze sauti hii juu ya Makonda Christian. Mh. Makonda, mimi kada wa CCM...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ikitokea TEC na Gwajima wakashirikiana, kishindo chake kitakuwaje kuelekea uchaguzi Mkuu?

    Salaam, Shalom! Yaani itatokea Askofu na TEC wakaamua kuungana pamoja na Mtumishi Gwajima kwenye jambo lake hapo October, yaani kutokomeza Wasiojulikana na agenda zingine zingine 😃 Unadhani kishindo chake kitakuwaje? Kwako Lucas Mwashambwa ,johnthebaptist Mungu ibariki Nyikani. Karibuni 🙏
  8. N

    JamiiForums Tanzania Chadema yazidi kung'ara kanda ya ziwa, yahitimisha mikutano yake kwa kishindo kikubwa mjini Kahama

    Chadema kwa sasa ndio habari ya nchi.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kishindo Cha 4R za Rais Samia, mgogoro baina ya Tanzania na Malawi umemalizika kwa maridhiano.

    Hakika falsafa ya 4R ni msingi wa amani na mshikamano wa kiuchumi si TU kwa Tanzania bali baina ya nchi na nchi na Leo katika kusheherekea matokeo ya 4R ni kwamba mgogoro wa usafirishaji na zuio la mazao baina ya Tanzania na Malawi umemalizika kwa njia ya maridhiano. Hakika vitendo vina nguvu na...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 G 55 Inapaswa Waanze Mikutano ya Hadhara kuuelewesha Umma namna ambavyo wanadhani wakishiriki kwenye Uchaguzi watapata Ushindi wa Kishindo

    Binafsi Hawa jamaa ningewaona Wana akili timamu endapo nao Kwa wingi wao,waafanye mikutano ya hadhara ya kuwaelewesha Watanzania namna ambavyo wakiingia kwenye Uchaguzi ujao watashinda majimbo ya kutosha na kuepusha mauaji ya watu na wizi wa Kura hautotokea! Tofauti na hapo nitaendelea kuwaona...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Single mother (Hamisa Mobeto) kaolewa kwa kishindo. Hili huenda likafufua matumaini ya wengine huku mitaani

    Ndoa ya Aziz k na hamisa mobeto ni alama na mfano wa kuigwa kwa sababu 1. Hakuna mwanaume mwenye utimamu wa akili na mwili anaweza badili Imani yake ya dini , mahusiano yake na MUNGU kwa sababu ya mwanamke, lakini Aziz k amefanya 2. Hakuna mwanaume ambaye ana akili zake sawa anaweza chukua...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Samia ni turufu ya CCM kwa Watanzania uchaguzi mkuu 2025

    𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗡𝗜 𝗧𝗨𝗥𝗨𝗙𝗨 𝗬𝗔 𝗖𝗖𝗠 𝗞𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗨𝗖𝗛𝗔𝗚𝗨𝗭𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 2025 Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi wa kipekee ambaye amebeba matumaini makubwa ya Watanzania. Utendaji kazi wake umejikita katika kuimarisha uchumi, kuleta maendeleo, na kuhakikisha mshikamano wa kitaifa. Kama mwanamke wa kwanza...
  13. JamiiForums Tanzania Kuaminika kwa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa Watanzania na kukubalika kwa CCM kwa Wananchi ni ushindi wa kishindo kwa Taifa letu moja

    Ukifuatilia kwa umakini na ukaribu zaidi, uelekeo wa siasa za Tanzania, utagundua kwamba, Dr.Samia Suluhu Hassan, anakwenda kurekodi na kuandika historia mpya ya kuaminika zaidi kama Rais wa Tanzania, Lakini pia kukubalika zaidi kwa wanainchi kama mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, na...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Irene wa NHIF kaanza mwaka 2025 kwa kishindo: Kabuni vifurushi vya Serengeti (huduma 1,800), Ngorongoro (huduma 440), na Toto Afya Kadi karudisha

    DR. IRENE C. ISAKA, DG WA NHIF Hadi mwishoni mwa mwaka 2021 ni 15% ya Watanzania walikuwa wanapokea huduma za tiba kwa njia ya bima ya afya. Takwimu hizi zilijumuisha 8% kupitia taasisi ya NHIF, 6% kupitia taasisi ya iCHF, na 1.3% kupitia mifuko ya bima inayoendeshwa na watu binafsi. Sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga leo Ushindi tunapata wa Kishindo hasa

    Hawa watu lazima watupie. Piga ua garagaza. 1. Dube 2. Chama 3. Aziz Ki Kati ya hao au wote lazima watupie. Ndo mpango wa team tayari hata team pinzani wanajua. Kocha mchezaji wetu kipenzi. Fred Felix Minziro anajua hili. Hawezi izuia Yanga. Haitatokea.gari limewaka. Goal za chini sana ni...
  16. JamiiForums Tanzania Wana Ngorongoro, nawapa kongole kwa mapenzi yenu ya dhati kwa CCM, mmeipa ushindi wa kishindo uchaguzi wa mitaa, mmekataa upotoshaji

    Wana-Ngorongoro bado wako ngangari na CCM yao, kuna waliodhani eti kwa sababu ya zoezi la kuwahamishia kwenyw makazi bora eti wangeichukia CCM. Aahhhh wapi. CCM imepata ushindi wa kishindo
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizi wa kura unaua morali ya wapiga kura

    Wale wezi wa kura wasioheshimu sanduku la kura,wanaishi kwa mbeleko Msijione washindi kwa wizi wa kura kimsingi mnaua morali ya wapiga kura kushiriki katika chaguzi mbalimbali hapa nchini. Imefikia hatua wanachi hawataki kujitokeza kwenye mikutano na wala hawataki tu kusikia habari za uchaguzi...
  18. N

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Sababu za CCM kushinda kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa ya mwaka 2024

    1. Utekelezaji wa ilani ya ccm ya 2020-2025. Wananchi waliridhishwa na miradi iliyotokelezwa ,kama vile barabara,huduma za afya,na elimu.M afanikio haya yalijenga imani na kuimarisha uungwaji mkono wa ccm. 2. Maandalizi ya mapema. ccm ilifanya tathmini ya viongozi waliopo na kuandaa wagombea...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Ghati Chomete: CCM Imejipanga Vizuri, Lazima Itashinda kwa Kishindo Uchaguzi Serikali za Mitaa

    MBUNGE GHATI CHOMETE: CCM IMEJIPANGA VIZURI, LAZIMA ITASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete, tarehe 26 Novemba 2024 ahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuwaombea kura wagombea wa CCM Wilaya ya Musoma...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Kitaa Fest yahitimishwa kwa kishindo jijini Dar

    Mpishi maarufu kutoka Kenya, Dennis Ombachi akimuelekeza Jonathan Jooste, Kaimu Meneja Mkuu wa Coca-Cola Kwanza namna ya kupika Chicken wings wakati wa hafla ya kufunga mwaka la Kitaa Food Fest lililofanyika siku ya jumamosi jijini Dar. Dar es Salaam, Novemba 24, 2024. Tamasha la Chakula la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…