Hapo zamani biashara hasa za hardware walikuwa wanatumia sana kirikuu kubeba cement, mabati, nono, n.k. lakini sikuhizi tunazidi kuona kasi ya maguta yakichukua nafasi hii
wafanyabiashara wanaoenda kununua vitu kama maduka makubwa nao hawachezi mbali wameanza kuyaelewa maguta
Pia kirikuu...
Utangulizi
Sidhani kama kuna mkoa ndani ya Tanzania,ambalo halijui show za (Kirikuu) yamekuwa chaguo la wengi wanaoanza au kuendesha biashara ndogo ndogo.
Na ni hali ya kawaida kwa wengi ambao wanataka kuanza bishara ya ubebaji mizigo masokoni, kuambiwa kuanza na kirikuu, yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.