kipunguni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kipunguni Mashariki (Kinyamkela) - Ilala hatujapewa malipo ya kupisha Uwanja wa Ndege mwaka wa tano sasa

    Sisi Wakazi wa Kipunguni Mashariki (Kinyamkela) Wilaya ya Ilala tumekuwa na sintofahamu juu ya malipo kwa ajili ya kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege, lakini sasa ni zaidi ya miaka mitano kumekuwa na upuuzwaji wa malipo ili kupisha eneo. Upimaji wa tathmini ulifanyika miaka 5 iliyopita hali...
  2. Pdidy

    Waziri Mkuu, Wananchi wa Kipunguni wanalipwa lini pesa zao? Wezi wanavamia nyumba, kumebaki mapori tu

    Mh Waziri Mkuu, Hongera kwa Mungu kukupa nafasi uliyonayo na kazi unayoifanya. Pongezi kubwa kwako. Nianze kutoa malalamiko yangu kuhusu yanayoendelea Kipunguni. Wananchi wa Kipunguni wanakusubiri urudi waje ofisini kupiga magoti. Wanaumizwa na majambazi, wanakufa kwa presha, kisukari na...
  3. M

    Kwagilwa: Mtendaji Kata ya Kipunguni ‘B’ achukuliwe hatua kwa kuchelewa kufika kazini na kushindwa kutoa huduma kwa wananchi ipasavyo

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa, amemwelekeza Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya Mtendaji wa Kata ya Kipunguni ‘B’ kwa kuchelewa kufika kazini na kushindwa kutoa huduma kwa wananchi...
  4. M

    MTIHANI; BAADHI KIPUNGUNI A HAWAJALIPWA FIDIA YA ARDHI. UCHAGUZI HUU HAPA

    Hili la Kipunguni kutolipwa fidia ya ardhi zaidi ya miaka 20 linafikirisha sana. Wananchi wanalipwa kwa awamu na kimakundi kidogo kidogo sana.Kulikoni! Uchaguzi ungekuwa wa huru na haki CCM ingepata shida sana Kipunguni. Hili serikali limalizeni.
  5. W

    KERO Wakazi wa Kipunguni wamefikisha miaka mitatu bila kulipwa fidia

    Wakazi wa Kipunguni Mashariki Ilala Dar es Salaam, wamefikisha miaka mitatu bila kulipwa fidia waliyoahidiwa na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ili kupisha uendelezaji wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere na kuomba serikali kuingilia kati ili waweze kulipwa. Chanzo...
  6. Pdidy

    DOKEZO Wananchi Kipunguni wanalia. Watu 200 wamelipwa kati ya 1860. Nani alaumiwe?

    Rais Samia, eneo la Kipunguni limekuwa eneo la mateso makubwa sana kwa wananchi. Hili eneo toka 2017 wameletwa watu walipime kusubiri utanuzi wa uwanja wa ndege. Wakasimamisha ujenzi wowote na wapangaji wakashauriwa kuondoka Rais Samia mpaka wananchi wako wanakulilia kuna mambo yanaendelea...
  7. stabilityman

    Findia Kipunguni hapa banana waanza kulipwa

    Jana zoezi limezinduliwa Leo 27/2/2025 wamesema wanalipa watu 200
  8. Insidious

    KERO Danadana malipo ya fidia Kipunguni

    Napenda kutoa malalamiko yangu makali na kero kuhusu kucheleweshwa kwa malipo ya fidia kwa ardhi tuliyotoa KIPUNGUNI kwa ajili ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa serikali. Taarifa ya tathmini ya ardhi ilifanywa tangu jana, na hata miaka ya nyuma (1997), lakini hadi leo hatujaona malipo yoyote...
  9. T

    Bonnah Kamoli kushikilia shillingi ya waziri kuhusu Kipunguni ilikuwa danganya toto, hata wewe jamani

    Nilimsikia Mbuge wa Segerea akitoa notisi ya kushikilia shilingi ya Waziri wa Uchukuzi kuhusu malipo ya fidia Kipunguni A lakini ghafra ikawa kimya je kulikoni na wewe unatusaliti Mungu yupo naamini atatulipa tu. Asanteni sana kwa kututesa
  10. T

    Malipo ya fidia ya Kipunguni yatua Bungeni nani anakwamisha? Tuikae CCM

    Ni aibu iliyoje kwa serikali kushindwa kulipa fidia Kipunguni kwa kipindi cha miaka 27 na zaidi. Je, mwenye kustahili kuwajibika Waziri wa fedha, Uchukuzi, TAA au Rais na mwenyekiti wa CCM, tuambiwe. Waziri Mkuu ingilia kati kuna mchezo mchafu. Mbunge Kamoli amelisemea sana sasa joma na iwe...
  11. Replica

    Mbunge Bonna Kamoli atishia bungeni sakata la wananchi Kipunguni kupisha Airport, hawajalipwa fidia miaka 27 sasa

    Mbunge wa Jimbo la Segerea, Bonnah Kamoli akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 leo Mei, 6, 2024 amesema ikiwa suala la fidia ya wananchi wa Kipunguni halitapatiwa maelezo ya kutosha, basi atashika shilingi na hataachia. Amesema suala hilo limechukua muda...
  12. K

    Wakazi wa Kipunguni Dar es Salaam ambao tuliteseka zaidi ya miaka 20 mwaka huu tumefanyiwa tathimini ya majengo na ardhi. Tunasubiri malipo

    Mheshimiwa Rais mama yetu mpendwa. Wakazi wa Kipunguni Dar salaam ambao tuliteseka Zaid ya miaka 20 mwaka huu tumefanyiwa tathimini ya majengo na ardhi. Tunasubiri malipo. Lakini tunaona siasa zimeanza maana mpaka Sasa bado hatujajua lini tutalipwa. Ingawa mmbunge wetu Segerea Bona Kimori...
  13. Pdidy

    Maendeleo Bank jihadharini na kampuni hii iliyopo Kipunguni, mtaumia!

    HIZI kampuni za kipunguni zinazojutangaza biashara za kuku na unga kabla ya kutoa mkopo.mjiridhishe ushauri tu
Back
Top Bottom