Ugonjwa wa kipindupindu umeua watu 70 ndani ya siku mbili katika mji mkuu wa Sudani, Wizara ya Afya meitangaza leo Alhamisi, Mei 29. Haya yanajiri wakati Khartoum ikikumbwa na kuzorota kwa huduma zake za matibabu. Katika taarifa, wizara imerekodi maambukizo mapya 942 na vifo 25 kwa siu pekee ya...