Umewahi kukutana na mtu ambaye ana kinyaa kilichopitiliza? Hali yake ya maisha vipi?
Ukweli ni kuwa, sisi binadamu ni wachafu kiasili. Na hii ni kutokana na ukweli kuwa huwezi kuwa msafi kwa asilimia zote. Maisha yetu ya kila wakati yanajumuisha uchafu. Mazingira na miili yetu huzalisha taka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.