kinondoni

Kinondoni District is a district in north west of Dar es Salaam's central business district, Tanzania, others being Temeke (to the far Southeast) and Ilala (downtown Dar es Salaam). To the east is the Indian Ocean, to the north and west the Pwani Region of Tanzania. The area of Kinondoni is 531 km2 (205 sq mi).
The 2002 Tanzanian National Census showed that the population of Kinondoni was 1,083,913. The census of 2012 showed that the population of Kinondoni was 1,775,049: 914,247 female and 860,802 male. There are 446,504 households in Kinondoni with an average of 4 people per household.The original inhabitants of Kinondoni were the Zaramo and Ndengereko, but due to urbanization the district has become multi-ethnic.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Video: Vurugu zazuka Kinondoni baada ya raia kugoma mwenzao kuchukuliwa na Polisi wakihofia Polisi huyo kuwa mtekaji

    Wakuu, Huko Kinondoni kumetokea zogo na vurugu mtaani baada ya raia kugoma mwenzao kuondoka na mtu aliyejitambulisha kama afisa wa Jeshi La Polisi Ukonga. Katika video hiyo, mwanaume mmoja alijitambulisha kama Polisi alikuwa akitaka kumchukua kijana mmoja kinyemela. Wananchi baada ya kuona...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi Kinondoni yazindua Kampeni ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Jijinsia, yataja waliofungwa maisha kwa makosa ya ukatili

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni umefanya uzinduzi wa Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ambao umebeba kauli mbiu isemayo Kuelekea Miaka thelathini ya Beijing Chagua kutokomeza Ukatili wa Kijinsia. Akizindua kampeni hiyo leo Disemba 06, 2024 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wenyeviti wa mitaa wateule 106 na wajumbe 530 wa kata 20 za Kinondoni waapishwa

    Wenyeviti wa mitaa wateule 106 na wajumbe 530 kutoka katika kata 20 za Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, wameapishwa leo Novemba 28, 2024 katika Ukumbi wa Soko Kuu la Magomeni. Akizungumza katika hafla ya kuwaapisha viongozi hao, Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Kinondoni ambaye...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wenyeviti wateule 106 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuapishwa Kinondoni

    Wenyeviti wa Mitaa wateule 106 kutoka katika kata 20 za Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, wanaapishwa leo Novemba 28, 2024 katika Ukumbi wa Soko Kuu la Magomeni. Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Kinondoni ambaye pia ni Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Hanifa Hamza ndiye mgeni rasmi...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kituo cha Kupigia Kura cha Lugalo, Kawe chakutwa na Maboksi ya Kura zilizopigwa kabla ya muda wa kupiga kura

    Kupata taarifa zote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kila mkoa ingia hapa: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Katika hali isiyokuwa ya kawaida inadaiwa kuwa masanduku matatu (3) ya kura...
  6. J

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAMISEMI - Chunguzeni Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni Kuna madudu pale

    TAMISEMI, hapa Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni kuna madudu, tafadhali chunguzeni hawa wafanyakazi wenu. Huu ni mwaka wa 4 sasa nafuatilia malipo yangu sipati ushirikiano wowote toka kwenye hii Halmashauri, kila ninayeambiwa nimfuate ananipiga chenga na kunipa majibu ya kijinga yasiyo na...
  7. JamiiForums Tanzania Uwanja wa biafra kinondoni

    naona ccm wilaya washampa mtu kipande hapo biafra kinondoni mtu awake yard Kiwanja ndiyo kinaondoka hivyo... hivi nyie serikali+ccm mnataka watu,watoto wakacheze na wakampumzike wapi maana maeneo yote ya wazi mnayatoa tu ova
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kinondoni: Mtaa wa Mwinyimkuu wagombea wa vyama vya upinzani Uchaguzi Serikali za Mitaa waenguliwa

    Wakuu, Ameandika haya Mwanaisha Mndeme wa ACT Mtaa wa Mwinyimkuu, Kata ya Mzimuni, Jimbo la Kinondoni wagombea wa vyama vya upinzani wote wameenguliwa. CCM hawako tayari kwa uchaguzi wa huru na haki.
  9. JamiiForums Tanzania KERO Manispaa ya Kinondoni mnapango gani na stendi ya Tegeta Nyuki? Mbona kama imetelekezwa hivi

    Nimeona miaka ikienda lakini stendi ya Tegeta Nyuki ambayo ni moja ya stendi kubwa tu inayobeba magari mengi yanayofanya safari zake maeneo mengi katika Jiji hili la Dar es Salaam. Kwa mfano kuna magari ya Tegeta Nyuki Makumbusho, Tegeta Nyuki - Simu 2000, Tegeta Nyuki - Bunju Sokoni, Tegeta...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji kiwanja maeneo ya Mwananyamala, Kinondoni na Makumbusho ofa milioni 20

    Habari wadau . Nimefanikiwa kukopa pesa bank hivyo nahitaji kiwanja kilichokuwq mjini maeneo ya mwanayamala, kinondoni na makumbusho. Ikishindikana kabisa nipate hata maeneo ya kawe
  11. JamiiForums Tanzania House4Sale 400 sqm house for sale Kinondoni B

    Ina fremu 8 na vyumba vi5 Ipo opposite na mwendokasi Imegusa barabara kubwa ya lami Eneo sqm 400 Clear title deed Bei 800m mazungumzo More details 0715877076
  12. JamiiForums Tanzania Biashara za Kinondoni na sinza

    Kinondoni studio na sinza fremu ya chini ni million 1 Lakini unakuta duka Lina nguo 10 na ukiingia ndani full kiyoyozi na nje mwenye duka kapaki ndinga ya maana Mimi uwa najiuliza Hawa uwa wanafanya biashara gani pale na wanawezaje kulipa Kodi!!?
  13. JamiiForums Tanzania Soko la Bwawani Kinondoni lililogharimu Sh Bilioni 1 linaelekea kuwa makumbusho, lipo hoi hakuna Wafanyabiashara

    Licha ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam kubainisha wazi tija ambazo zinatokana na uwepo wa Soko la Bwawani, lakini katika hali ya kusikitisha soko hilo limeanza kuwa makumbusho hata kabla ya miaka 5. Kwenye soko hilo maeneo ya biashara ni matupu hakuna...
  14. JamiiForums Tanzania Kinondoni yafunga saluni zinazotoa huduma za masaji na kujichubua ngozi kwa kuwatundikia drip

    Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imefanya ukaguzi wa saluni kadhaa zinazotoa huduma mbalimbali, ikiwemo huduma za ‘kusinga’, ili kubaini ikiwa zinafuata taratibu za utoaji huduma. Hadi sasa, wamefunga saluni mbili zinazotoa huduma hizo pamoja na urembo wa ngozi kwa sababu walikuwa wakifanya...
  15. JamiiForums Tanzania Plots, Apartments for Sale

    Apartments for Sale Nzuri sana ya kisasa, iko Mikocheni Karibu na palm village, barabarani kabisa. Fully furnished, 3 master bedroom, kuna gym na swimming pool. Inauzwa $220,000 ( Dola laki mbili na ishirini) Ina mteja analipa kodi $1500 per month, Kama mtu anataka kuhamia mteja atapewa notice...
  16. JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba zinapangishwa Dar

    INAPANGISHWA_MASTA SEBULE ENEO - MBEZIBEACH GOBA ROAD KODI - TSHS 150,000 NIONE - 0679268006
  17. JamiiForums Tanzania Kama RCO Kinondoni anadai Usalama wa Boni Mayai alipaswa ampe ulinzi na taarifa za wanaohatarisha usalama wake kisha kuwakamata

    Nimeshangaa sana. Yaani mkuu wa upelelezi unapeleka kiapo Mahakamani ili mtuhumiwa asipate dhamana? Primary objective ya jeshi la polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zao. Sasa kama kuna watu wanahatarisha usalama wa Boniphace. Kwa nini hao watu wasikamatwe?
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA: Lissu kwenda kuripoti Ofisi ya RCO Kinondoni asubuhi hii

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema asubuhi hii (leo, Jumatatu Septemba 23, 2024) amefuatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi nyumbani kwake, na kuelezwa kuwa anahitajika kuripoti kwa RCO wa mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Dar es Salaam, ambapo amesema yuko tayari kwenda kuitikia wito huo...
  19. JamiiForums Tanzania Plot4Sale House4Sale Kinondoni: House/Plot For Sale - Dar

    • Direction: Kinondoni Mahakamani • Facilities: 3 bdrm, 2 washrooms, servant quarter • Plot Area: 240 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 70 million (fixed) • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ inajitosheleza vyumba master 1 na kawaida 2 ✓ nyumba ina mpangaji analipa TSH 500,000 kwa mwezi . •...
  20. JamiiForums Tanzania Huyo Naibu Meya wa Kinondoni ninayo hakika hatomsahau huyo Mkurya

    Jibu moja tu na hakutaka kupepesa aisee! Heraaaaa!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…