kinauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Tunauza Viwanja na kutafuta wapangaji wa nyumba

    Inatokea unataka kuja DODOMA kusoma, kuishi au hata kikazi, nakusihi uwasiliane namimi endapo mahitaji yako ni chumba cha kuishi, nyumba au hata appartment. Mpangaji huweza kulipia mara baada ya kuona chumba Kama ni mhitaji wa chumba,nyumba kama ni mhitaji wa nyumba. Mpangaji hutoa chaguo lake...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam

    1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road) 2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi yapo)pia hakipo mbali na barabara 3. Nyumba ya vyumba 6 Mbezi beach Goigi (dk 10 bagamoyo road)...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Mbagala Chamazi Mbande bei m3.3

    Mtenja serious ____________ KIWANJA KINAUZWA MBAGALA CHAMAZI MBANDE BEI 💵 M3.3 KULIPA KWA AWAMU MTAA UMETULIA UDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO MAJI UMEME YAPO CONTACT US 0768041126 0689357572
  4. uberimae fidei

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam

    *ENEO LINAUZWA* Eneo lenye ukubwa wa *ekari ishirini* linauzwa *Pingo, Chalinze*. Eneo linapakana na *Chuo cha Ualimu Chalinze* kwa mbele na kwa upande wa kulia ni *kiwanda kipya cha vigae cha Twyford* kinachojengwa hapo Pingo.Kama ambavyo baadhi watakuwa wanajua, kiwanda cha vigae kitaajiri...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa maeneo ya Goloka-Mbagala

    Kiwanja kinauzwa maeneo ya goloka-mbagala. Ukubwa wake ni ft 14/13. Bei yake ni shilingi milioni mbili. Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na mwenye kiwanja(si dalali) kupitia namba 0713769416.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Chanika

    Habari Kiwanja kinauzwa Chanika maeneo ya Buyuni, Kigezi Kina ukubwa wa 1600 sqm bei ni milioni 18, ama ukitaka kukatiwa pia sawa Maelezo zaidi DM
  7. Slim

    JamiiForums Tanzania Kiatu kinauzwa

    Kiatu kipya kinauzwa bei 130,000/ size 7 hand made from UK Niko Arusha, ukihitaji pm me
  8. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Tegeta A

    Kiwanja kinauzwa Tegeta A. Square meter 400. Bei ni shs 15m. Kuna matofali mengi tu kama bonasi. PM au email tajirika@gmail.com. Mhusika mimi kwa hiyo hakuna udalali.
  9. EmmanuelKamaghe

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Total station kwa ajili ya kazi za survey bila chaja na begi lake inauzwa Tsh Milioni 2

    TOTAL STATION KWAAJILI YA KAZI ZA SURVEY BRAND NI TOPCON USED BILA CHAJA NA BEGI LAKE.... 2 MILLION. MAWASILIANO 0621390287 WHATSAPP AND NORMAL CALLS.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha Mlandizi

    Kiwanja kipo kibaha mlandizi. Ukubwa 20 Kwa 20 Bei ni milioni mbili. Kimepimwa tayari,mawe yapo. Km Moja na nusu toka morogoro road 0629075172
  11. makaveli10

    JamiiForums Tanzania Kiatu cha kiume toka uturuki kinauzwa

    Wazee nauza kiatu,kimeletwa kama zawadi toka uturuki lakini hakinitoshi. Saizi ya kiatu ni UK 8, Uero 42kama kinavyoonekana pichani. Bei ni pesa taslimu za kitanzani 70 elfu. kipo kigamboni 0659445718
  12. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Igoma-Mwanza: Kiwanja kinauzwa

    Info: kiwanja kipo Igoma, mtaa wa Kilimo A. 0713096076 Umeme upo karibu na Beacon Size ni hatua 35 kwa 25 za mtu mzima (sijapima Kwa mita tafadhali) Beacon zimewekwa na kishapimwa zamani sana. Maji Yapo unavuta mita chache kutoka kwa Jirani. Barabara ipo kinaingilika vizuri hakijabanwa na...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa

    Kipo ubungo riverside eneo la makoka, kipo karibu na barabara kubwa na kimejengwa mabanda mawili ya wapangaji yenye vyumba viwili viwili,,kinafaa pia kujenga flemu za biashara. Mwenye uhitaji DM tafadhari kwa maelekezo zaidi
  14. Prince Juzo

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa

    Kiwanja kipo Mahoma Nyika (kitalu BD), Dodoma. Kiwanja kimepimwa, ukubwa ni 514 m². Sifa za Eneo kiwanja kilipo. Kipo karibu na stendi ya mabasi ya mkoani, soko la ndugai , Magufuri City, Ring road na uwanja wa ndege wa Msalato International Airport. Yaani kimezungukwa na hivi vitu. Sababu ya...
  15. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Njiro karibu na barabara ya Lemara

    Kiwanja kinauzwa njiro karibu kabisa na barabara ya lemara. Kwa wale wanaojua kanisa la KKKT Lemara ndio hapo hapo karibu. kabla haujafika kikwakwaru stendi. Kiwanja ni 30 kwa 15. kina msingi ndani ambao ni ramani ya nyumba. ukitaka kuendeleza sawa. Kuna mawe na mchanga pia uliobaki. Ni...
  16. dalalimhenga

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Goba Centre

    Ukubwa wa kiwanja 800sqm Kimepimwa Na kina hati safi Bei ni Tsh 45milioni More information- 0742141467
  17. dalalimhenga

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Salasala Kinauzwa

    Ukubwa wa kiwanja 1030sqm Kimepimwa Na kina hati safi Bei ni Tsh 55milioni More information- 0742141467
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Dodoma

    Kiwanja kinauzwa Dodoma eneo makulu bei ni 15M kwa description za kiwanja 0755151642. Karibuni
  19. Mtego wa Noti

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Sqm 400 Mivumoni Dar es Salaam

    Kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 400 kinauzwa kwa shilingi Milioni 12. Kiwanja kiko wilaya ya Kinondoni eneo linaloitwa Mivumoni pia kiwanja kiko mita 700 kutoka Mivumoni Senta na kiko barabarani kabisa. Huduma ya Maji na Umeme zipo. Tuwasiliane inbox tufanye biashara.
  20. dalalimhenga

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja chenye hati kinauzwa Goba

    Ukubwa wa Kiwanja 1000 sqm. Kipo Goba, umbali wa kilomita moja kutoka barabara ya lami. Vimepimwa na kina hati. Bei ni Tshs 60,000,000 ( 60 Milioni ) Wasiliana nasi - 0742141467
Back
Top Bottom