kinara

The kinara is a seven-branched candleholder used in Kwanzaa celebrations in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia kinara wa kuzalisha ajira Tanzania

    No Joke- Rais Samia Ametengeneza ajira nyingi zaidi ndani ya kipindi cha miezi 18 kuliko Marais wa Tatu waliopita Tanzania. Amerejesha asilimia 90 ya kazi zilizopotea chini ya janga la Corona. Amepandisha madaraja na mishahara kwa Watumishi wa Sekta ya Umma kwa asilimia 23 jambo ambalo...
  2. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Quora unawezekana ukawa sababu ya wakristo wengi wa Ulaya kusilimu na kuwa Waislamu

    Ikiwa imeshapita mwaka mmoja sasa tangu Kanisa kubwa la Byzantine empire liitwalo HAGIA SOPHIA kubadili muelekeo na kuwa Msikiti huko Instanbul, Quora inawezekana ikawa ni mtandao unao tegemewa sana katika harakati za kiimani, Quora ni tovuti ya kijamii ya maswali na majibu iliyopo Mountain...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanza: Tuzo za Mwanamke Kinara kanda ya ziwa

    Tuzo ya Mwanamke Kinara Kanda ya Ziwa Kutoka kwa Waandishi wetu Mwanza; Leo ni siku nyingine tena ambayo ni msimu wa pili wa tuzo hizi kubwa kanda ya ziwa ambapo tutashuhudia Tuzo zikitolewa kutambua michango mbalimbali ya wanawake Vinara Kanda ya Ziwa, waliogusa jamii kwa namna mbalimbali...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa miongoni mwa nchi tano kinara kwa uwekezaji Afrika 2022

    Five African countries for investors to watch in 2022 Investment Monitor's African investor guides identify the five countries on the continent that look set for stellar years in 2022 for FDI. tment Monitor‘s Africa investor guides, covering the north, east, west, centre and southof the...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Serikali: Posta muwe kinara utekelezaji wa anwani za makazi na postikodi nchi nzima

    POSTA MUWE KINARA UTEKELEZAJI WA ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI NCHI NZIMA ◊ Anwani za Makazi ni Msingi wa Posta ya Kidijitali Prisca Ulomi na Loema Joseph, Dodoma Serikali imelielekeza Shirika la Posta Tanzania (TPC) kuwa kinara na kuongoza jukumu la utekelezaji wa mfumo wa anwani za makazi...
  6. JamiiForums Tanzania Mayele ndio kinara wa Magoli mpaka sasa, kuna mshambuliaji kazidiwa na wazawa, aibu

    Huu ndio msimamo, sasa yule straika wenu kazidiwa hata na mzawa George Mpole😂 afu mnataka kusema eti Mayele ajifunze kwake, kueni walau na aibu.
  7. JamiiForums Tanzania Iringa kinara wa mimba za utotoni 2021

    Mkoa wa Iringa umeongoza kwa watoto wa kike kupata mimba za utotoni. Zaidi ya wasichana 3,000 wenye umri kati ya miaka 10 hadi 19 mkoani Iringa, Wamegundulika kupata mimba katika kipindi cha januari hadi Oktoba mwaka 2021, jambo ambalo linarudisha nyuma juhudi za kupata elimu kwa watoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…