Basi bwana inasemekana Upendo kafall in love na mume wa mke mwenye watoto wawili. Wakaenda South Africa, Upendo akanogewa penzi. Bwana akamwambia nipo radhi nikuoe mke wa pili, Upendo akakataa akasema ana mashetani yanapandaga hayataki uke wenza.
Wee, bwana akajitosa akalala kwa Upendo siku...