Mgombea mwenza wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo serikali za CCM zitatilia mkazo wa kuinua kilimo cha umwagiliaji.
Amesema ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025/30...
ampeni za Uchaguzi Mkuu zimeendelea katika Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya, ambapo baadhi ya wakazi wametoa ombi kwa mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bahati Ndingo, kusimamia agenda ya upatikanaji wa ardhi ya kutosha kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji.
Ombi hilo limeibuliwa...
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bibi. Devotha Minja, ameanza ziara yake mkoani Tabora ya kuomba kura za wananchi kukipa ridhaa chama hicho kuongoza Tanzania huku akikiahidi wakiingia madarakani kukibadili kilimo hapa nchini, kuwa cha umwagiliaji kuachana na...
Kutokana na kuwepo kwa changamoto ya kilimo cha kubahatisha kwa wakulima kutokana na mvua zisizo za uhakika, serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeanza kuchimba visima virefu vya maji hamsini kwa ajili ya matumizi ya kawaida na viwili kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji mkoani...
Nina shamba ekari 15 lililopo Mbeya. Natafuta mtu wa kuunganisha naye nguvu tufanye kilimo cha alizeti.
Kilimo cha umwagiliaji pia kinaweza kufanyika kwakua shambani kuna miti inayotoa maji.
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, imesaini mkataba wa ununuzi wa mitambo ya kuchimba visima virefu na kampuni ya utengenezaji mitambo hiyo ya Uturuki iitwayo Acarkardesler, ambapo mitambo hiyo itagharimu Dola za Kimarekani...
Tumefanya mdahalo wa kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu kilimo cha umwagiliaji kama njia ya kujikwamua kiuchumi. Akina mama walioshiriki walitoa ushuhuda wa jinsi kilimo hiki kimewasaidia kuboresha maisha yao na kuleta mabadiliko ya kijamii.
Kupitia vipindi kama Nijuze, tunaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.