kilimo cha mahindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Griss

    JamiiForums Tanzania Kulikoni mradi wa kilimo Cha mahindi wa Jakaya Kikwete wayeyuka?

    Huyu mzee si akalime Kama zamani? Hapa ni 2017 alijifanya analima kumbe anapanga mambo yake. Huyu mzee😀😀
  2. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye utaalamu wa kilimo cha mahindi ya popcorn

    Habari zenu wana jukwaa poleni na harakati za mchana kutwa. Nahitaji kujua namna haya mahindi ya kutengeneza bisi yanavyolimwa. Hali ya hewa ya eneo, udongo ambao unarutubisha na mengine yote ambayo napaswa kiyazingatia kwenye kilimo hiki. Na je kwa mikoa ya kusini MTWARA yanaweza kufanya...
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo wazaa matunda. Tanzania yaipiku Nigeria na kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika

    Nawakumbusha tuu Baadhi ya mambo ambayo Serikali ya Rais Samia imeyafanya kwenye Kilimo Ili Kuzalisha Kwa Wingi na Kwa Tija. Soma zaidi hapa Tanzania Yaipiku Nigeria Kama Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika.Maono ya Rais Samia Kufanya 🇹🇿 Ghala La Chakula Afrika Kutimia...
Back
Top Bottom