KILIMO KAMA SULUHISHO LA UKOSEFU WA AJIRA TANZANIA: USHAURI KWA SERIKALI KUJENGA TAIFA LA WAAJIRI KUPITIA SEKTA YA KILIMO.
Utangulizi
Tatizo la ukosefu wa ajira limeendelea kuwa moja ya changamoto kubwa zinazolikabili taifa la Tanzania, hasa kutokana na ongezeko la idadi ya vijana wanaomaliza...
Tulipoanza kutengeneza Fuga App, hatukutaka kubahatisha kile wafugaji wanahitaji.
Ndiyo maana ndani ya app tumeweka kitu rahisi sana.
Kama kitu kinakusaidia, tuambie.
Kama kuna sehemu inakuzngua, tuambie.
Kama una wazo la kuboresha Fuga App, tuambie.
Una wazo? Una Swali, Kuna sehemu...
Sijawahi elewa kiukweli Kwa nini hii Nchi imejaa watu Matapeli na Serikali Haijali kabisa.eg tunawapa wakulima mbegu za mahindi feki, Pamba feki harafu hakuna anaefidia hizo hasara Kwa mkulima.
Unajiuliza hivi Kuna Serikali kweli ? Au kazi ya Serikali Huwa ni nini hasa kama haiwezi kujali watu...
WAKULIMA nchini wameshauriwa kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotolewa na taasisi za kilimo pamoja na kibenki zinazolenga kuwawezesha kukuza mnyororo wa thamani katika sekta na hatimae kuchangia pato la taifa.
Haya yameelezwa mkoani dodoma katika maonesho ya kilimo na ufugaji maarufu nane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.