kikao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mawaziri wafanya kikao Lushoto kutafuta suluhu ya migogoro ya Wananchi Mkoani Tanga

    Mawaziri saba wa kisekta wakiwa na mwenyeji wao ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe ambaye ni Mbunge wa Lushoto wamekutana wilayani hapo kujadili utatuzi wa changamoto na migogoro inayowakabili wananchi mkoani Tanga ikiwemo ya ardhi, ikiwa ni hatua ya...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu aongoza kikao cha kamati ya kitaifa ya Afcon 2027

    DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA AFCON 2027 WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa ajili ya kupitia hatua mbalimbali zilizofikiwa katika maandalizi ya michuano hiyo mikubwa itakayofanyika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Pombe haijawahi kujua kesho ni siku ya kazi, mtihani, kikao cha familia, safari, kwenda mahakamani, n.k. weka kisa chako pombe ilipokuharibia

    Pombe kweli haina kalenda 😂 Nilisema “nakunywa mbili tu, kesho ninaamka mapema.” Zile “mbili” zikawa 3, zikawa, 4, zikawa 6 asubuhi: Alarm inalia → nainyamazisha kwa hasira Kichwa kinapiga ngoma ya mdundiko Mdomo una ladha kama niliweka betri 🌚 Nilifika kazini nikitembea kama Wi-Fi isiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano Wa Pili, Kikao Cha Tisa, Tarehe 06 Februari, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=qNSa_QV1MuI
  5. JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Pili, Kikao cha Saba, Februari 4, 2026

    Fuatilia hapa MUBASHARA: https://www.youtube.com/watch?v=oztyMFTiKlc
  6. JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Tatu, Mkutano Wa Pili, Kikao Cha Sita, Tarehe 03 Februari, 2026

    Fuatilia LIVE HAPA: https://www.youtube.com/watch?v=wpq88St0dcA
  7. JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Tatu, Mkutano Wa Pili, Kikao Cha Nne, Tarehe 30 Januari, 2026

    Baadhi ya wabunge wakiwasili bungeni jijini Dodoma leo Januari 30, 2026 kushiriki kikao cha nne cha mkutano wa pili wa Bunge la 13. Katika shughuli za leo, kama ilivyo kawaida, kutakuwa na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge watauliza maswali na kujibiwa na serikali. Aidha, Bunge...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 17, 2026 ameongoza kikao cha kazi kuhusu ujenzi wa miradi ya barabara za haraka (Express Ways) kwa ubia

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 17, 2026 ameongoza kikao cha kazi kuhusu ujenzi wa miradi ya barabara za haraka (Express Ways) kwa ubia kupitia mfumo wa PPP. Kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, kimehudhuriwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzungumza na wakuu wa JWTZ huko Tanga

    Ni ajabu kuwa HabariLeo wameiweka hii taarifa Instagram wakaifuta haraka baada ya kupata comments nyingi toka kwa wananchi. Mbona sio kitu cha siri? Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, leo anakutana na viongozi wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Samia na wakubwa wa Jeshi Tanga ni kikao kazi au?

    Habari ni kuwa Mama Samia ametembea kwa gari Leo Dom to Tanga kufanya kikao na wakubwa wa Jeshi. Ndege haiaminiki sana kipindi hiki. Dhima na azma ya kikao bado sijajua kama ni kikao kazi au kikao mkakati
  11. JamiiForums Tanzania Kile kikao cha mali za watumishi naona kimeishia pale pale

    😄 Hivi mkuu wa kikosi kazi wa kujilimbikizia mali unataka kuwajibisha wanao jilimbikizia mali. Wote mnafaidi sasa ulitaka nani kutofaidi hii keki. Waziri mkuu hapa umechemka kama kuku wa kwenu kupikia mchemsho.
  12. Q

    JamiiForums Tanzania NGOs 30 za kimataifa zimeliandikia Baraza la Haki za Binadamu UN kuitisha kikao Maalumu kuzungumzia hali inayoendelea Tanzania

    Kufuatia matukio ya kikatili yaliyofanywa na mamlaka ya Tanzania kwa maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi wa rais na wabunge wa tarehe 29 Oktoba 2025, mashirika ya kiraia yanaitaka jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua ili kuzuia unyanyasaji zaidi. Katika barua iliyotolewa leo, mashirika 30...
  13. JamiiForums Tanzania Tume ya wazee, na kikao na wazee Leo Ili uhutubie taifa, vijana tunanuka kinyesi?

    Mtake msitake, walio andamana ni vijana na walikuwa na mahitaji Yao Tunakubali umeunda tume kweli nchi hii hatuna wawakilishi wa vijana wangekuwa kwenye tume hiyo Ili wazungumze nasi? Ebu muulize IGP Mwema enzi akiwa IGP aliwai kutana na vijana wangapi walio nje ya Jeshi la POLISI na...
  14. JamiiForums Tanzania Dodoma: Bunge la 13, Mkutano wa Kwanza, Kikao cha 3, Novemba 13, 2025

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Jina la Mbunge huyo wa Iramba Magharibi limewasilishwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Brigedia Jenerali Nyamburi Mashauri kwa ajili ya Bunge...
  15. JamiiForums Tanzania Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake & Watoto

    Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera .E. Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto Awamu ya Pili (MTAKUWWA II), kilichofanyika tarehe 11 Novemba, 2025 Jijini Dodoma. kikao hicho kilihudhuriwa na wajumbe kutoka Wizara...
  16. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Kikao cha Bunge leo wakosa wachangiaji JF

    GT inshangaza tangu saa 3 asubuhi hadi sasa sakumi kuna views 158 na replies 6 tu
  17. JamiiForums Tanzania Mussa Azzan Zungu awa Spika wa Bunge la 13. Achaguliwa kwa kura 378 kati ya kura 380 halali

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limefanya uchaguzi wa kumchagua Spika wa Bunge la 13. Kikao hicho kinaendeshwa na Spika wa muda William Lukuvi, akisaidiwa na Katibu wa Bunge Baraka Leonard. Jumla ya Wabunge 383 wanapiga kura. Katika uchaguzi huu tutakumbuka kuwa Spika wa Bunge...
  18. JamiiForums Tanzania Demokrasia itaanza na wajasiriamali siyo Wanasiasa

    Ameandika ndugu mmoja muathirika wa udikteta wa Belarus kuwa, Kwa miongo kadhaa nchini Belarus, kulikuwa na kauli ya kwamba: “Usiguse mamlaka — na mamlaka haitagusa biashara yako.” Lakini baada ya mwaka 2020, maelfu ya wajasiriamali waligundua kuwa hali ya kutokujihusisha kisiasa haipo tena...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu. CCM yaazimia kujitathmini na kujipanga vyema kubeba dhima ya kuliongoza Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ameongoza kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume njooni huku Kuna kikao

    Kabla ya yote niwashukuru kwa kuitikia muitiko huu Sasa tunaweza kuketi ili tuanze kikao Bila kuwachosha . Kuna kitu nilihitaji majibu kutoka kwenu wanaume Imetokea kwenye harakati zako za utafutaji uko na rafiki yako ambae mmeshibana ghafla mkatofautiana na kuanza kuvutana Mara ugomvi huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…