Kijitonyama (Kata ya Kijitonyama, in Swahili) is an administrative ward in Kinondoni District of the Dar es Salaam Region in Tanzania. The ward is surrounded on its northern side by the wards of Makumbusho, Mwananyamala, and Hananasif. The ward is bordered to the east by the Ilala MC wards of Upanga West and Mchikichini. Wards Mzimuni and Ndugumbi form the southern and western borders. According to the 2012 census, the ward has a population of 58,132.
Hayo maeneo ni sehemu ya city centre kwa hiyo yanatakiwa yaboreshwe
Zifuatazo ni njia ntakazotumia kuboresha na kuyafanya ya kisasa ntatumia njia zifuafazo
Hayo maeneo yatajengwa gorofa kuanzia 5 na mpaka 100
Wale wote wenye maeneo watatoa maeneo hayo na kuwapa madeveloper
Madeveloper watajenga...
Wakuu,
Akizungumza Akizungumza jana Julai 12, 2025 kwenye kongamano kubwa la vijana lililofanyika Viwanja vya Kanisa Kuu la KKKT Usa River Arusha, Mchungaji Kimaro amesema kuwa Jeshi La Polisi sio mazimwi yaliyotoka ardhini na kwamba ni watu wazuri ambazo ni ndugu zetu
Jeshi la Polisi sio...
Wakuu,
Akizungumza jana Julai 12, 2025 kwenye kongamano kubwa la vijana lililofanyika Viwanja vya Kanisa Kuu la KKKT Usa River Arusha, Mchungaji Kimaro amesema kuwa vijana wahakikishe kwamba Uchaguzi wa mwaka huu hauwaachi wakiwa walemavu au wakiwa na kesi mahakamani
Hakikisha Uchaguzi wa...
Mara baada ya ukimya wa muda mrefu, Freeman Mbowe — aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) — ameibukia kanisani kwa Mchungaji Kimaro katika Kanisa la KKKT Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo limetokea Jumapili, Julai 6, 2025, ambapo Mbowe alionekana akiwa...
Sitaki kuamini kwamba mataa ya kuongozea waenda kwa mguu na magari pale Kijitonyama siku hizi hayafanyi kazi!
Yaani ni kero kubwa sana kwa sababu unakuta zile taa za waenda kwa mguu unakuta ile picha nyekundu ya mtu akiwa amesimama siku hizi haibadiliki. Hivyo muda wote ni magari tu na...
Plot for Sale at Kijitonyama located in a very quite and peacefully neighborhood,
■One incomplete building
■Area size 1500sqmt
■Price 850m tsh
Contact us and Schedule a visit!!
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika hatua ya kujali na kuthamini makundi maalumu katika jamii, imetoa msaada wa mahitaji ya kibinadamu katika kituo cha Makao ya Kulea Watoto Yatima, kilichopo mtaa wa Nzasa, Kata ya Kijitonyama Wilaya ya Ubungo.
Hatua hii ni...
Mwenyekiti wa Mtaa wa Kijitonyama katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Steven Jovin amesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Novemba 27, 2024 ulikuwa huru na wa haki na hakukuwa na shida yoyote.
Akizungumza mara baada ya kuapishwa kwa wenyeviti wateule 106 wa Manispaa ya...
• Ipo Kibamba Mwisho
• Ukubwa wa eneo ni ekari 4
• Ina hati miliki
• Imesajiliwa
• Inauzwa TZS bilioni 1.2
.
✓ darasa 1-7
✓ inatoa huduma
✓ ni ya kutwa
✓ ina maabara na jengo la ofisi
✓ ina kiwanja cha michezo
✓ eneo kubwa limebaki linaweza kutumika kwa maendeleo mengine
.
• In Real...
• Direction: Muhoro
• Plot Area: 850 sqm
• Document: Title deed
• Price: TZS 800 million
• Viewing charge: TZS 30,000
.
✓ hapa ni mahali pa soko la kibiashara la kimataifa
✓ plot inafaa kwa makazi na biashara
.
Call/Watsap: +255 767 15 77 88
.
In Real Estate We Connect
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.