kiislamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mfahamu mwana zuoni wa kiislamu Gafur Gulam aliyewatetea wayahudi kipindi cha utawala wa NAZI

    Gafur Gulam (au Gafur Ghulam) alikuwa mwandishi maarufu na mshairi kutoka Uzbekistan, ambaye aliandika kwa lugha ya Kiajemi na Kiuigur. Alizaliwa tarehe 10 Mei 1903 na alifariki tarehe 10 Julai 1966. Gafur Gulam ni mmoja wa waandishi maarufu wa karne ya 20 kutoka Asia ya Kati na alichangia sana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iwaze kurusha setilaiti badala ya tahasusi za dini

    Maajabu na vimbwanga vya Serikali. Yaani kosa kuongeza masomo ya ubunifu wa sayansi na teknolojia au hata watoto wafundishwe elimu ya fedha mtandao. Kuangalia namna ya kukuza vipaji vya ubunifu lakini wajuba wanajiwazia Islamic knowledge na divinity mambo ya ajabu sana. Binafsi watoto wangu...
  3. JamiiForums Tanzania Magaidi wenye mlengo wa kiislamu wachinja watu kwenye kituo cha afya DRC

    Huyu 'mungu' wao anapenda damu sana.... At least eight civilians died on Thursday in an attack on a health centre in eastern Democratic Republic of Congo, according to media reports that cited locals. The attack was carried out in DRC's North Kivu Province. Locals said the attack was carried...
  4. JamiiForums Tanzania Magaidi wenye mlengo wa dini ya kiislamu wazidi kushambulia Msumbiji

    Yote hii kwa ajili ya kumtukuza 'mungu' wao.... Mozambique's army is fighting Islamist insurgents who launched a major attack on the northern town of Macomia on Friday morning, President Filipe Nyusi said in a televised address. The town is in Cabo Delgado, a gas-rich northern province where...
  5. JamiiForums Tanzania Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni

    Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja. Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Magaidi wa ISIS wenye mlengo wa kiislamu wakiri ndio waliua kwenye msikiti Afghanistan

    Magaidi wa ISIS wenye mlengo wa kiislamu wakiri ndio waliua kwenye msikiti wa waislamu kule Afghanistan Vigumu sana kuelewa mlivyo nyie watu....kuuana ndio zenu. Halafu mnalia lia udini. Islamic State claimed responsibility for an attack on Monday on a mosque in Western Herat province in...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, Kennedy Ngondi matatani kwa video ya kulazimisha kumpa mkono na kumkumbatia mwanamke wa kiislamu

    Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, nchini Kenya, Ken Ngondi, alionekana kwenye video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kumlazimisha mwanamke wa kiislamu kumpa mkono na kumkumbatia, katika hafla ya siku yake ya kuzaliwa. Tukio hilo limezua taharuki kutoka kwa wananchi wakitaka spika...
  8. JamiiForums Tanzania Indonesia, nchi ya kiislamu yakubali kuwa na uhusiano na Israel

    Hawa wametia akili na kuacha muarabu abaki na bifu zake kwenye dini yake.... ==== OECD Secretary-General Mathias Cormann Indonesia, the largest Muslim country in the world, will normalize ties with Israel in exchange for Jerusalem’s approval of its request to join the Organization for...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ayatullah Khamenei: Israel itazabwa kibao usoni

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema utawala wa Kizayuni wa Israel utazabwa kibao usoni kutokana na shambulio lake dhidi ya majengo ya ubalozi mdogo wa Iran katika mji mkuu wa Syria, mapema wiki hii. Katika hotuba yake kwa maafisa wa utawala wa Iran na matawi...
  10. JamiiForums Tanzania (FSB) Usalama wa taifa Urusi waanza kamata kamata ya makundi ya kiislamu

    Hatimaye Urusi imeanza kuongea lugha moja na dunia, hawa watu sio wa kucheka nao, unacheka nao wanakulipua, wanafundishwa chuki tangia utotoni mpaka wanakua watu wazima unafikiri wewe utawabadilisha leo? Nchi yote imetaharuki, hamna pita pita za wanaume waliovaa mikanzu...
  11. JamiiForums Tanzania Hatimaye Putin akubali shambulio lilifanywa na magaidi wa kiislamu ila asema Ukraine ilihusika kiaina

    Japo hana ushahidi wa uhusika wa Ukraine, ila asema shambulizi lilifanywa na magaidi wa kiislamu lakini anahisi kuna namna Ukraine ilihusika sehemu......... Swali la msingi, Ukraine na waislamu wapi na wapi, yeye ndiye alianza kuchangamkia hao watu bila kujua ni mazombi ambayo hayaachi asili...
  12. JamiiForums Tanzania Magaidi wa dola la Kiislamu (Islamic State) wakiri kuhusika kwenye shambulizi la kigaidi Urusi ambalo limeua Warusi 62

    Wametoa taarifa kwenye mtandao wa Telegram kwamba wao ndio walihusika........ Putin alikua ameanza kujenga uhusiano na magaidi ya hii dini, hakujua nyoka haachi asili yake ISIS claims responsibility for attack in busy Moscow-area concert venue that left at least 40 dead ISIS has claimed...
  13. JamiiForums Tanzania Urusi yaua wafuasi wa Dola ya Kiislamu (IS)

    Russian authorities on Sunday said they had killed six suspected Islamic State group fighters in the southern Muslim-majority Caucasus republic of Ingushetia. Special forces from the FSB security agency cornered the six people in a building in the town of Karabulak and "neutralized" them in an...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

    Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku. Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na...
  15. JamiiForums Tanzania Iran anachokifanya kwa nchi za Iraq na Pakistan, ni unafiki kusema kuna umoja wa nchi za Kiislamu

    Ujinga tupu kama nchi yako ikajiunga na kuwa miongoni mwa nchi za Kiislam! Aliyeikataa OIC nchini petu Tanzania, apewe mauwa yake. Kinachofanyika na kufanywa na nchi ya Kiislamu IRAN kwa nchi za kiisilamu nyenzake, ni uhuni na ulimbukeni kuendelea kuamini kwamba hili nalo ni taifa linalounga...
  16. JamiiForums Tanzania Four Muslim students are said to have called for the introduction of strict Islamic rules at the school - including gender segregation in lessons

    Wamehamia kwenye nchi ya watu na kutaka kuanza kulazimisha matambiko ya dini yao. ========= Four Muslim students are said to have called for the introduction of strict Islamic rules at the school - including gender segregation in lessons. The police are investigating. NRW Interior Minister...
  17. JamiiForums Tanzania Uturuki yakamata magaidi wa Islamic State (Dola ya Kiislamu)

    Mbwa kala mbwa........... === Turkish authorities have detained 29 people suspected of having ties to terrorist group Islamic State in operations across nine provinces, Interior Minister Ali Yerlikaya said on Friday. Suspects captured in "Operation Heroes-37" on Friday were planning to attack...
  18. JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa makundi ya kiislamu Gaza ni mfano wa kuigwa Kwa pamoja wamekataa ombi la kusitisha vita

    Ndani ya Gaza kuna makundi kadhaa yanayopigana dhidi ya Israel kwa lengo moja la kuitetea Palestina na kuulinda masjid al aqsa. Kila kundi lina wapiganaji wake na hazina ya silaha.Kuna vikundi ya kisunni na mkubwa wao ni Hamas.Kuna vikundi vya mlengo wa kishia wakiongozwa na al qassam brigade...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Taasisi ipi ya Kiislamu ambayo ni mfano wa kuigwa miongoni mwa taasisi kwa mafanikio yake makubwa hapa nchini Tanzania?

    Wadau hamjamboni nyote? Je ni taasisi gani ya Kiislamu hapa nchini Tanzania ambayo imeanzishwa na kuendeshwa kwa mafanikio makubwa hususani kwenye Menejimenti hivyo kuwa mfano wa kuigwa miongoni mwa taasisi husika? Lugha zisizo na staha hazikubaliki Niwatakie sikukuu njema ya Noel
  20. JamiiForums Tanzania Picha inayohusishwa kuwa ni Joshua akiwa katika gwanda za Jeshi la Israel

    Jeshi la Hamas ni nadra sana kuvaa kiraia, pia huficha nyuso zao kamwe hazionekani. Lakini wauwaji wa Joshua walikua hawana nguo za jeshi wamevaa kiraia na pia nyuso zao zilikua wazi. Kwanini Hamas hufunika nyuso zao? Hamas daima hufunika nyuso zao. Watu hawa, ambao hawajajulikana ni wakina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…