Nijibiwe,
Vijana( baro baro), wabunge na mawaziri ambao mwaka huu wana miaka 45, chini ya miaka 50, wanainuliwa mgongo upi ambao hata hauna dalili ya kupinda?
Yaani mtu ambaye anagombea Tena,
Kwanini asitunziwe mafao yake na alipwe akifikisha umri wa kustaafu, na iwe mara moja tu, SI Kila...