kihaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushuhuda ,wanawake wa kimakonde, kizaramo/kidengereko, wanawake wa kitanga na wanawake wa kihaya wapi ni watamu kitandani?

    Tupe ushuhuda mwanamke gani kati ya hawa ni mtundu kitandani? Maana wamakonde, wazaramo/wandengeleko wanawekwa ndani kabisa kufundishwa namna ya kutiana na makungwi wao ndo maana baadhi ya sehemu serikali wamepiga marufuku kama wanaamasisha umalaya ivi Watanga na wahaya nao sifa zao zinajulikana...
  2. Ila mafundi wa kihaya mna sifa

  3. Hivi wazee wa Kihaya wana mtazamo gani kuhusu hawa mabinti

    Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu mara kadhaa napita chimbo kupata huduma sasa nakutana na hawa mabinti kutoka mkoani Kagera sio mmoja wala wawili ni wengi they don't give shit wanapenda kuongea lugha ya kwao very confident na wanachofanya. Pointi yangu wazee wao kama Profesa Mukandala...
  4. Vijana wa kihaya - mnaitwa πŸ™ŒπŸ½

    Heshima kubwa sana kwenu, nilikua nasikiaga tu sifa zenu ila jana nimejionea πŸ™ŒπŸ½πŸ”₯πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½. Wakora sana, nahisi nimempata omugonzibwa wange πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚. https://youtu.be/wrEDCIdx0ek?si=W-8HZWjEOf5oA5eR
  5. Mama wa Kihaya kahamia jirani na mimi. Ameokoka ila...

    Ni mweusi, mrefu, ana tacle lile og, macho legevu, analegeza sauti akiongea na mimi. Ni jirani mwema sana.
  6. Wasanii wetu hawawezi kushinda Grammy labda wafanye sampling ya Mziki wa Kihaya

    Ukisikiliza nyimbo za kihaya na Design yake ya uchezaji, vikitumika vizuri tunapeleka Bongofleva kwenye Grammy. Grammy wanapenda vitu asilia, na sio vya ku-copy. Ukisikiliza hii nyimbo ya Mwanamama "Sauda Haulat - Dereva Babili" ni nyimbo iliyotoka miaka ya 2000 mwanzoni lakini ingefanyiwa...
  7. Abahaya n'Empaya

    TUJIFUNZE KIHAYA SANIFU KATIKA MUKTADHA WA WAZIBA: 1. USISEME: Mjwahuzi yagya aruwanja rwe ndege. SEMA: Mjwahuzi yagya aituriro lye ebiarazi. 2. USISEME: Ompe omwanvuli. SEMA: Ompe ekiziba izoba. 3. Husiseme: Ntugya akikao Sema: Ntugya alukiko. 4. USISEME: Ntulya omuchele SEMA: Ntulya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…