kigogo busisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kigongo Busisi zilivuka Tani 1,600 tu kwa siku leo ni Tani 180,000 na watu 12,000 wanavuka. Tulitumia saa 3 -4 kuvuka leo ni dakika 3 - 4 tu

    Hii ni baada ya Rais Samia kutoa TZS716.33bn kujenga hili daraja la Kigongo Busisi Rais alirithi Daraja hili likiwa na asilimia 25 za utekelezaji wake, daraja hili lina urefu wa kilometa 3.2  kwa juu ya Ziwa Victoria, na njia za uunganisho za 1.66 km, ikijumuisha barabara pana ya reli ya T4...
  2. Kididimo

    JamiiForums Tanzania KERO Vivuko vya Kigongo-Busisi havifanyi kazi leo. Daraja lifunguliwe kwa dharura kuruhusu magari

    Leo ni balaa hapa Kivukoni. Foleni na usumbufu mkubwa sana kwa wasafiri na wasafirishaji. Hakuna kiongozi yeyote aliyefika kutatua hili tatizo la vivuko kukwama. Nashauri, kama Daraja hili la Magufuli limefikia 96% kukamilika, magari yaruhusiwe kupita kwa dharura. Nchi yetu imejaliwa usheheni...
Back
Top Bottom