kigamboni

  1. K

    House4Sale Nauza nyumba maeneo mbalimbali Dar

    Chanika Magenge, mtaa Toroka Uje. Bei 16milioni. Serious buy nipigie tufanye biashara 0712347749, 0746474849. Nyumba ina vyumba 3. Master 1, viwili vya kawaida Choo cha public kipo ndani kingine nje. Sittingroom, deningroom Flem za biashara 2. Kozi 2 ya uzio Eneo la kujenga mabanda ya uani...
  2. T

    Hitilafu ya Pantoni Kigamboni

    Wanajamvi Leo wakazi wa Kigamboni wameteseka sana baada ya Mv Kazi kushindwa kufanya kazi baada ya kuegeshwa vibaya kwenye gati. Sijui ni lini Temesa wataboresha huduma katika kivuko hicho maana kila siku kero.
  3. Anaejua sakata la jamaa wa Kigamboni waliojiunganishia bomba la mafuta liliishia wapi atujuze

    Kuna mambo huwa yanapita bila kuhojiwa japo huwa yanazunguka kwenye vichwa vya watu. Mojawapo ni jamaa waliounga bomba la mafuta la kigamboni hii issue ni ya uhujumu uchumi japo ni kama iliisha kirahsi rahsi kwa mtazamo wangu. Nitafurahi kama kuna anaejua hili nalo liliishaje. Ama ukiona hili...
  4. Nahitaji Pharmacy (duka la dawa) linalouzwa Kigamboni

    Kwa mwenye kuuza duka la dawa kigamboni nahitaji. Iwe ni biashara yenye vibali vyote muhimu na pia unioneshe daftari la mauzo na location iwe nzuri ya kueleweka. Nicheki inbox tuzungumze zaidi.
  5. Boma linauzwa, Kigamboni Dege Ml. 18

    Sold
  6. African man dem village, sehemu ya bei nafuu ila luxury, Kigamboni

    Wale wazee wa kupenda Privacy na Bata wa Kimyakimya, this is the place to be. Hii sehemu ipo Somangila- Kichangani, Kigamboni. Trust me wana huduma za kipekee na gharama poa sana kwa msosi na kulala lodge yao ni handy made with artist creativity. Patamu sana kujificha na kumwagilia moyo. You...
  7. Kama Bush na Wamarekani hawajainunua Kigamboni kama inavyozidi kuenezwa Mamlaka ikanushe tafadhali

    Na kama ni kweli nitahitaji majibu, kwanini wamepewa eneo la beach jirani na waliko mabaka mabaka na eneo lisilo mbali kimkakati na Jumba kubwa analolala Mama na Baba yetu Hafidhi.
  8. Inahitajika nyumba ya kupanga Kigamboni

    Habari wakuu, kama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza, inahitajika nyumba kubwa ya kupanga ya familia yenye parking kuwe na usalama, kodi isizidi 300K kwa mwezi.
  9. D

    Matumizi ya N-card Kivukoni Kigamboni siyo shirikishi; yanafyeka salio la wananchi kimya kimya. Fanyeni hivi kuondoa tatizo

    Matumizi ya Card kwenye vivuko ni mazuri lakini yamekuja na changamoto ya kuibia wananchi pesa zao kielektronikia! Nauli ya kivuko ni tsh 200 kwa watembea kwa miguu, na elfu 1500 au 2000 hata zaidi kwa magari! Pesa hiyo hukatwa unapochanja (scan)! ZIFUATZO NI BAADHI YA CHANGAMOTO 1. Yapo...
  10. DOKEZO Serikali iangalie hali ya usalama kwenye boti za mwendokasi Kivukoni na Kigamboni

    Mimi ni mwananchi wa kawaida leo nimeamua kuweka hili suala wazi ili jamii ione wazi kuliko kuendelea kulalamika chinichini kila siku. Naamini kupitia hapa Jamii Forums ujumbe huu utawafikia Watanzania wengi na vyombo vya Serikali kuweza kuelewa ninachokiandika hapa. Hoja yangu ni kwenye zile...
  11. Wafanyabiashara wa Ferri, Kigamboni marufuku kufanya biashara pembezoni mwa barabara

    Na. Jonathan Kalunga Wafanyabiashara wa ferri watakiwa kuepuka kufanya biashara pembezoni mwa barabara, mpaka pale watakapo tafutiwa maeneo mazuri kwa ajili ya shughuli zao. Katazo hilo limetolewa na Diwani wa Kata ya Kigamboni Dotto Msawa, alipowahutubia wafanyabiashara hao Mara baada ya...
  12. Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni

    Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana. Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja. Kuna...
  13. M

    Mwananchi waomba radhi, wasema mchakato zabuni uuzaji mradi wa Dege waendelea

    Muktasari: Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba amesema thamani ya mfuko huo imeongezeka na kwamba, fedha za wanachama ziko salama. Dar es Salaam. Mchakato wa kumsaka mzabuni kwa ajili ya uuzaji wa mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni, Dar es Salaam...
  14. NSSF yakosa tena Mnunuzi wa Mradi wa Dege Kigamboni Mji Mpya

    Ikitimia miezi mitano baada Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kutangaza kuuza mradi wake wa Dege Eco Village uliogharimu Sh330 bilioni hadi sasa, hakuna mzabuni aliyefikia uwezo wa kununua mradi huo. Mradi huo uliopo mji mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam ulioanzishwa na mfuko huo...
  15. M

    Plot4Sale 1 acre plot for sale at Kigamboni town

    Plot for sale at Ungindoni Kigamboni, located 200 meter from main road. ideal for commercial and residential investment. Asking price ; 380M Tshs. for more info contact; +255 712 347 749 +255 746 474 849 Ungindoni plots
  16. U

    Hali ya vivuko vya Kigamboni inazidi kuwa mbaya

    Naomba kwanza nikiri mimi ni mkazi wa Kigamboni ambaye karibu Kila siku ya Mungu natumia vivuko vya feri. Najua sio mada mpya Sana hapa jukwaani wengine wengi wameshaijadili hapa lakini kwa msisitizo naleta hii mada tena nikiwa naamini JamiiForums ni jukwaa pana, mada za humu ndani zinasomwa na...
  17. T

    Ndugulile ataka Azimio la Bunge la kubinafsisha huduma ya vivuko Kigamboni

    Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) ameliomba Bunge kupitisha azimio la kubinafsisha huduma za vivuko nchini. Dkt Ndugulile aliyasema haya leo tarehe 31.01.2022 wakati akichangia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu iliyowasilishwa mapema leo Bungeni, Dodoma. Dkt...
  18. T

    Hali tete vivuko vya Kigamboni

    Kwa masikitiko makubwa naomba serikali iingilie kati suala la VIVUKO VYA KIGAMBONI kutokana na hali ya uchakavu iliyopo katika VIVUKO hivyo ili kunusuru majanga yanayoweza kutokea. Tangu hii wiki ianze wananchi wamekuwa wakiteseka sana pale kwa foleni ndefu magari na mlundikano mkubwa kwenye...
  19. Natafuta madarasa ya kukodisha Kigamboni

    Natafuta madarasa ya shule yaliyokamilika kwa ajili ya kukodisha kigamboni. Kama unayo taarifa yeyote tafadhali nicheck inbox
  20. M

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kimbiji, Kigamboni

    👉 Viwanja Kigamboni Kimbiji 👉 Mashamba tambalale Kwa ufupi. Eneo la ekari 3.5 beach area Lipo mkoa wa pwani Kisiju Karibia na bandari ya Kisiju Kituo ni Sotele Km 87 kutoka City Center DSM Bei ni milioni 12. (Negotiable) +255746 474849 Update** Heka zaidi ya 100 zinauzwa kisiju wilaya ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…