kifo ni kifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ubongokid

    Kusherehekea Misiba Pia ni namna ya Kuomboleza Tusifundishane namna ya kuomboleza Kifo ni kifo tu

    Kwanza kabisa niseme mimi binafsi sifurahii kabisa pale mtu anapokufa.Sifurahii zaidi pale anapokufa bila kutubu.Hata hivyo kuna desturi imejitokeza hapa nchini ya watu kufurahia watu wanapokufa.Ni desturi mbaya na ambayo sio ya kistaarabu.Hata hivyo kuna desturi mbaya zaidi ya viongozi kujaribu...
  2. Idugunde

    Kumbe na wao huwa wanaumia moyoni wanaposoma komenti za wanaofurahia MwanaCCM akifa! Mbona hawakukumea ile kauli " kifo ni kifo"

    Nimemsikia Waziri mkuu Mwigulu Nchemba akisema huwa akipita mitandaoni huwa anakutana na komenti zinazosikitisha hasa inapotolea misiba ya wanaCCM Nimepata picha kumbe na wao huwa wanaumia. Sasa mboba ile kauli ya kifo ni kifo hakuna aliyeikemea ndani ya CCM?
  3. Mr Devil

    KIFO NI KIFO TU

    KIFO NI KIFO TU. psychopath/ sadist
  4. Idugunde

    Kifo ni kifo tu isitumike kuwakebehi Machawa wa Mama na CCM tumuachie Mungu

    Nina uhakika hao machawa wa CCM wao mtu kupotezwa au kuuwawa kama mzee Ali Kibao sio ishu kubwa kwao maana chawa anajali tumbo lake kuliko uhai wa Mtanganyika. Tumuachie Mungu. Tuache kuwakebehi wanapofiwa. Ipo siku Mungu ataikomboa Tanganyika
  5. Damaso

    Je, Tumeikosa Huruma Yetu ya Kibinadamu?

    Msiba ni jaribu zito, unaoumiza moyo, unaobomoa ndoto na kuacha pengo lisilozibika. Kwa kawaida, msiba huambatana na majonzi, dua, na faraja kwa wafiwa. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha ni pale baadhi ya watu wanapopokea taarifa za msiba kama fursa ya dhihaka, chuki au shangwe kubwa...
  6. Chachu Ombara

    Freeman Mbowe amjibu Rais Samia; Ni kweli watu wengi wanafariki, upekee unatokea anapodakwa na vyombo vya dola halafu anapotezwa

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) amejibu kauli ya Rais Samia kuwa 'Kifo ni Kifo tu' amesema "Ni kweli vifo vipo vingi na watu wengi wanapoteza maisha, tunakubali, lakini maisha yote haya yanayopotea kila mmoja una thamani...
Back
Top Bottom