Lengo lao wanataka waseme Mama anaupiga mwingi. Kwamba Ufundishaji umeongezeka. Kila kitu sasa ni kuchakachua kuanzia matokeo ya Urais hadi Matokeo ya Wanafunzi.
Shule hazina Waalimu, hazina Maabara, hazina Madawati hazina Madarasa halafu ufaulu unakuwa 99.9%.
Ni sawa na Mtoto ajisahihishie...
Wakuu habari za muda huu. Naomba kuuliza utaratibu wa wahitimu wa kidato cha 6 kujiunga na JKT kama bado ni hiyari au kwa sasa ni lazima? Na kama ni lazima,mafunzo hayo huanza mwezi gani kwa hawa ambao wamehitimu kidato cha 6 mwaka huu?
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limefuta matokeo yote ya Watahiniwa 71 wakiwemo 70 wa Mtihani wa Kidato cha Sita (64 wa Shule na 06 wa Kujitegemea) na mmoja wa Mtihani wa Ualimu Daraja A (GATCE) ambao walibainika kufanya udanganyifu katika Mtihani.
Akiongea Visiwani Zanzibar leo July...
Wahitimu wa kidato cha sita zaidi ya 130 katika Shule ya Sekondari Milambo iliyopo Mkoani Tabora wamelazimika kuondolewa Shuleni hapo chini ya ulinzi mkali wa Jeshi Polisi muda mfupi baada ya kumaliza mtihani wao wa mwisho wa kuhitimu kidato cha sita, hii ikiwa ni baada ya njama zao za kutaka...
Wakuu,
Ni rasmi sasa imebaki miezi 4 mpaka wanafunzi wa kidato cha 6 kuanza mitihani yao ya mwisho ya NECTA.
Kulingana na ratiba hii, mitihani hii itaanza Mei 5, 2025 na itaisha Mei 25, 2025
Katika Hali inayojulikana kama maandamano ya kupinga watoto kupotea katika nchi yetu, Kwa Mujibu wa UTV, KUNA kijana ameuwawa Kwa kupigwa rasasi na polisi hapo Jana tarehe 21/08/2024
Kwa mujibu wa Matokeo ya Mtihani wa Kihitimu Kidato cha 6 uliofanywa Mei 2024 na kutangazwa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Ufaulu wa Watahiniwa waliopata Daraja I - III umeongezeka kwa 0.10% kutoka Wanafunzi 95,442 (99.30%) mwaka 2023 hadi 102,719 (99.40%) mwaka 2024.
NECTA imesema...
Jamani ukisoma CBG na ukamaliza form six ukataka kujiunga na mafunzo ya jeshi unaweza kukubaliwa au Kuna vigezo muhimu af mafunzo ya jeshi yanachukua muda Gani kuhitimu? Na je ili kujiunga mpk uwe na ufaulu upi form six?