kibu denis

Kibu Denis Prosper (born 4 December 1998), is a Tanzanian footballer who plays as a forward for Simba S.C., a club based in Dar es salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. Kibu Denis ametia aibu kushindwa kujengea wazazi wake

    Star wa Simba amepata msiba wa kifiwa na baba yake mzazi, Binafsi Nampa pole Kwa msiba huo Kibu ni star wa football TANZANIA amecheza mpira muda mrefu na sasa yupo Simba analipwa zaidi ya milion 20 Kwa mwezi Ana bonuses mbalimbali Anacheza timu ya taifa Ajabu mzazi wake anakufa marafiki...
  2. Offen Chikola ni muda wake kuchukua nafasi ya kibu Denis pale team ya taifa

    Wakuu. I salute you kinsmen. Huyu kijana ni uwezo wake mkubwa ndio ngumu kuuelezea Alianza kuwa lulu tangu alipokuwa Tabora na sasa ni TRA inaitwa. Leo yupo team kubwa yanga na dakika chache alizopewa tu boom! Assist moja, chap chap. Niliona kwenye mazoezi kijana anapewa free kick apige na...
  3. D

    Kibu Denis Kate wa na Simba

    I will be short that's the breaking news, kibu mkandaji Katemwa na simba, Reasons : nidhamu pia kukataa kuja chan taifa stars pia. over
  4. Ahmed Ally: Kibu Denis, Che Malone na Edwin Balua wapo Sokoni

    Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuna uwezekano wa klabu kuwauza nyota wake watatu, Kibu Denis, Che Malone na Edwin Balua. "Mambo yasipoenda sawasawa watarudi kuja kuitumikia mikataba yao," ameomgeza.
  5. Ujumbe maalumu kwa Denis Kibu kuelekea mechi ya marudiano ya Simba vs Al Masry

    Rastaman Denis Kibu, Mwanangu nakukubali sana na mimi ni mmoja wa watu ambao nimekuwa nakutetea sana mitandaoni na hata mtaani. Ebwana mwanangu nakubali sana uwezo wako wa upambanaji na nguvu ulionao. Hizi ni silaha zako kuu na usiziache kamwe. Nakushauri mambo matatu ya kuacha au kubadilisha...
  6. Hatimae Kibu Denis ajipata afunga goli ligi kuu ya NBC baada Ya miaka wiwili.

    Wakuu, Jamaa kauona mwezi, Kibu Denis mchezaji machachari wa klabu ya Simba sc amefanikiwa kupata goli lake la kwanza tokea afunge kwa mara ya mwisho kwenye ligi ya NBC dhidi ya Yanga SC December 5 2023 Soma Pia: Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex |...
  7. Simba yapiga chini fuko la pesa za Waarabu TSh. Milioni 890 wakihitaji saini ya Kibu Denis, Mo Dewji atia neno

    Klabu ya soka ya MC Alger ya Algeria, imetuma ofa ya $350,000 sawa na TSh. 890,322,650 ili kumnasa Kibu Denis. MC Wwako serious na Kibu wanamuhitaji haraka sana ndani ya dirisha hili dogo. Pia, Soma: Hawa ndio Wachezaji Wazawa ghali zaidi Ligi Kuu Tanzania, Vilabu vikubwa Afrika vyawatolea...
  8. Kibu Denis alipopewa uraia kwa njia ya mlango wa nyuma ilikuwa sawa ila ni kosa kwa Singida Black Stars kufanya kwa wachezaji wake

    Washabiki wa Simba na viongozi wao ni wasahaulifu sana Kibu Dennis alipewa uraia kwa mlango wa nyuma tena kwa kauli ya wazuri mkuu lakini hawakulalamika Leo hii Singida Black Stars wamefanya kilekile walichofanya Simba inakua nongwa tuacheni double standards Soma: Rasmi: Kibu Dennis ni...
  9. Kibu Denis: Mwanga upo kuhakikisha kwamba Simba tunachukua ubingwa wa CAF

    Nyota wa Simba Kibu Denis anasema hawana mechi ya nyumbani wala ugenini na kuna dalili kwa timu yao kuchukua ubingwa wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kutokana na upambanaji wao. "Katika malengo yetu msimu huu moja ni hilo la kubeba ubingwa wa Afrika na naamini kwa uwezo wa timu yetu...
  10. Elias Mpanzu ni Kibu Denis aliyechangamka

    Mpaka sasa hana goli ila mashabiki watasema anacheza vizuri, kwa sisi tunaojua mpira hadi useme amecheza vzr tunarudi kwenye numbers zake ana assist ngapi ana pre-assist ngapi awe mtu wa tatu kuusika kabla ya goli?. Mpanzu ni machachari sio hatari ana work rate kubwa tu kama Kibu wanakupa...
  11. Kibu Denis arejea na kusafiri na Kikosi cha Simba SC kuwafuata Singida Black Stars

    Kibu Denis ni miongoni mwa wachezaji walioungana na kikosi cha timu yao jioni hii kuelekea Singida kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars. Kibu alikosa michezo miwili ya awali dhidi ya Kagera Sugar na JKT Tanzania kufuatia safari ya kushughulikia matatizo ya...
  12. S

    Tafadhalini viongozi wa Simba Kibu Dennis arudi haraka sana kuokoa jahazi, Singida anatengenezewa mazingira ya kushika nafasi ya pili juu ya Yanga

    Kibu Denis ndio kiungo mshambuliaji pekee aliyebaki kuokoa jahazi la Simba, mechi ya leo angeimaliza mapema kabisa. Kwa sasa tutake tusitake mchezaji Kibu Dennis ana umuhimu mkubwa sana ndani ya timu yetu, bila yeye Simba haionekani kabisa kucheza dimbani. Tukubali tusikubali Kibu Dennis...
  13. Kibu Denis afunguka baada ya kuibeba klabu yake ya Simba mechi na CS Sfaxien

    Kibu Denis amefunguka baada ya kuibeba klabu yake ya Simba kwa kufunga magoli kwenye mechi na CS Sfaxien
  14. K

    KIBU DENIS a.k.a KASONGO " NGILI" iwekwe namba yake hapa tumpe pesa

    Kibu ameheshisha taifa , tumpongeze
  15. E

    Kibu Denis wa Simba atimiza mwaka mmoja bila kufunga goli katika ligi

    Mara ya mwisho aliwapiga goli wapinzani wetu Yanga nov 5 2023 . Soma pia: Kibu Denis wewe sio wa kuanzia benchi. Uamuzi sahihi ni kuondoka
  16. Sababu ya kwa nini hatuoni faida za anachokifanya Denis Kibu

    Wanasema kwa mpira wa sasa, magoli mengi yanatokea kwenye mipira ya kutengwa. Wengi wanadai Denis Kibu sio mchezaji mzuri kisa hana magoli au assist nyingi ila wanasahau ni mmoja wa wachezaji wenye kuchezewa faulo kuliko mchezaji mwingine katika ligi ya NBC (ni mtazamo tu ila sina takwimu...
  17. Kibu Denis ana kitu gani cha maana ambacho sisi mashabiki hatukioni?

    Huyu mchezaji anapewa muda wa kutosha. hatuoni aki assist au kutengeneza chance za magoli. Mwisho kabisa hatuoni akifunga. Je, kwa nafasi yake uwanjani kuna kipi cha zaidi ambacho sisi mashabiki hatukioni makocha wanakiona?
  18. Kwenye kushambulia Half-Space tumetoka pair ya Kibu/Onana tupo na Kibu/Mutale

    Kwa soka la kisasa Half-Space ni sehemu vital sana kwenye kutengeneza na kufunga magoli... Bahati mbaya sana hizo sehemu ndo tuna Kibu na Mutale. Unaweza kufurahia hivyo vigoli vyao vya kubahatisha wanavyofunga ambavyo havina mfumo ila in a long run hawa jamaa ni mzigo tu kwa timu, sababu...
  19. Hatimaye Kibu Denis amaliza msimu wake mapema kabisa

    Baada ya kiwango kizuri alichoonesha siku ya leo akiisaidia timu yake kupata goli la kusawazisha akifunga yeye mwenyewe na mechi kumalizika kwa jumla ya magoli matatu kwa moja. Sasa ndio Kibu Denis amemaliza msimu. Hii inatokana na kuwa na kawaida ya kufunga goli moja kila msimu na kisha kuja...
  20. M

    Kibu Denis wewe sio wa kuanzia benchi. Uamuzi sahihi ni kuondoka

    Kiungo mshambuliaji wa Simba Kibu Denis. Nikiangalia Simba yote naona hakuna striker wa kukuweka benchi. Ondokana na ujinga huu. Soma Pia: Kibu Denis anapaswa kulaaniwa na kila mpenda soka Kibu kuisumbua Simba, Taswira mbaya kwa timu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…