kibali cha ujenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Natafuta mhandisi mwenye sifa kuandaa michoro ya plumbing kulingana na house plan ya vyumba vitatu. Plan imeshapata kibali cha ujenzi.

    Kama una huo ujuzi tuongee. Hata kama huna degree ya engineering ili mradi una uzoefu wa kutosha
  2. stabilityman

    Ramani ya nyumba ya kuombea kibali cha ujenzi inatakiwa kuwa na sifa hizi

  3. stabilityman

    Faida za kuwa na kibali cha ujenzi

    FAIDA ZA KUWA NA KIBALI CHA UJENZI Kujenga nyumba ambayo imethibitishwa kitaalamu kuwa ni salama. Kuwa na mazingira bora kwa kuwa na mji uliopangwa. Kuepuka hasara na usumbufu unaoweza kutokea iwapo ujenzi umefanyika bila kibali ikiwa ni pamoja na kushtakiwa mahakamani kuvunjiwa na kulipa...
  4. stabilityman

    Ulifanywa nini ulipokamatwa unajenga bila kibali cha ujenzi?

    Lete vihoja nini kilitokea ulipokamatwa na wakaguzi wa vibali vya ujenzi
  5. Bosspraise

    Modern contemporary house plan design

    Modern contemporary house plan Do you need other samples ? Check me on +255742892195 call text whatsapp WE design and build your dream home
  6. Roving Journalist

    TANROADS: Hatujawahi kutoa ruhusa kwa watu kujenga kwenye Hifadhi ya Barabara

    JamiiForums iliwatafuta TANROADS ili kupata ufafanuzi kuhusu tuhuma za wao kuruhusu ujenzi kwenye maeneo ya hifadhi ya barabara ambayo wanakuwa wamezuia mwanzo kisha baada ya watu kuwafata na kuzungumza nao huwapa kibali cha kuendelea na ujenzi. Ms. Zafarani Madayi Meneja wa Mazingira TANROADS...
Back
Top Bottom