Hali ilivyo Kibaha Maili Moja karibu na Kituo cha Maliasili ambapo taka zimeondolewa, pia chombo kinachotumika kuhifadhi taka kikiwa hakijajaa kama ilivyokuwa awali.
Ikumbuke, Mdau wa JamiiForums.com alitoa ushauri kwa Uongozi wa Kibaha kuondoa uchafu uliokuwa umezagaa eneo hilo kiasi cha...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa Serikali ya Mtaa ya Muheza pamoja na Halmashauri ziliwatoza Wananchi wa maeneo hayo kiasi cha Tsh. 150,000 kwa ajili ya kupimiwa ardhi kuanzia Mwaka 2020 lakini hakuna kilichoendelea, ufafanuzi umetolewa.
Kumsoma Mdau, bofya hapa ~ Wakazi wa Muheza...
Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo
Ina Vyumba 2 kimoja master
Jiko,public toilet, sebule
Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20
Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa
Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000
Bei mln 19 maongezi yapo kidogo
0675 065906
Ni hatari tupu! Ukifika Kibaha Maili Moja njia panda ya kwenda Ofisi za Mkuu wa Mkoa, utaona kuna bustani ya miche ya miti na maua mbalimbali, pembeni yake kuna boda boda, ukifika walipo bodaboda utakutana na harufu nzito, hapo kuna mfereji uliochepushwa kutokea vilipo vyoo vya soko la Maili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.