kesi ya uhaini ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Ni ajabu Mshtakiwa ndiye anayedai apelekwe Mahakama Kuu ashitakiwe, kama ana hatia anyongwe!

    Tundu Lissu "Ni ajabu Mheshimiwa Hakimu hapa ni Mshtakiwa anaedai apelekwe mahakama kuu akashtakiwe, Kama Mahakama itaona ana hatia anyongwe. Twendeni tukapambane, si mnataka? Si mmefungua kesi ya uhaini? Pelekeni taarifa mahakama kuu." Fuatilia hapa: Mwenendo wa Kesi ya Lissu (Uhaini)...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili wa Jamhuri aomba Mahakama iahirishe tena Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu

    Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga, kwa niaba ya upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameomba mahakama kuahirisha kwa mara nyingine usikilizwaji wa kesi hiyo. Fuatilia hapa: Mwenendo wa Kesi ya Lissu...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Askari Magereza walioficha nyuso zao wakiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu

    Askari Magereza walioficha nyuso zao wakiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu Fuatilia hapa: Mwenendo wa Kesi ya Lissu (Uhaini) kuendelea leo Julai 30, 2025, afikisha siku 112 akiwa Gerezani
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi Agosti 13,2025

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu baada ya kuahirishwa Julai 15, 2025 inatarajiwa kuendelea tena leo, ambapo bado inasubiriwa hatua ya Ofisi ya Mwendesha mashtaka (DPP) kufanya uamuzi wa kufikisha kesi hiyo Mahakama Kuu ambayo ina hadhi ya kisheria. Mara ya...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Hatukubaliani Kesi ya Lissu inavyoendeshwa kwa kupoteza muda

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara John Heche ametoa wito kwa wafuasi wa chama hicho na Watanzania kwa ujumla wake kuungana pamoja katika kuhakikisha wanapigania haki zitakazopelekea kutatua matatizo aliyodai kuwa yanaipeleka nchi pabaya endapo hatua...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Nimechoka na ombi la ahirisho mara kwa mara, niko gerezani leo siku ya 97

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu, amesema "Leo ni siku ya 97 niko Mahabusu na wafungwa waliohukumiwa Kifo nimechoka na hizi habari" wakati akijitetea mwenyewe kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili muda mfupi baada ya Mawakili upande wa Jamhuri walipoomba...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Ulimwengu unajua hakuna Kesi bali ni Siasa, nimepewa Kesi ili wasisumbuliwe na No Reforms, No Election

    Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amesema "Mahakama yako vilevile iko kwenye Mahakama ya Umma, iko kwenye Kizimba cha Umma" "Watu wa Taifa hili wanajua na Ulimwengu unajua hakuna Kesi hapa bali ni Siasa, ni mwaka wa Uchaguzi, na mwaka wa Uchaguzi Kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Itakuwa kesi ya kwanza katika historia ya dunia hii kwamba mtu mmoja pekee yake ndio anafanya uhaini

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amesema "Itakua kesi ya kwanza katika historia ya dunia hii kwamba mtu mmoja pekee yake ndio anafanya uhaini" "Ni mara ya kwanza katika historia ya nchi kuona kesi kubwa katika sheria za Tanzania kesi ya UHAINI...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Baada ya madai yangu niliyotoa Mahakamani, nililetewa Padre kwenye Sero yangu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amesema baada ya madai yake Mahakamani juu ya kunyimwa Haki zake za msingi akiwa sero aliletewa Padre kwenye Sero yake na kupata hudama ya kiroho. Soma, Pia: Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Julai 15...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mahakama yakubali ombi la Tundu Lissu kujitetea mwenyewe

    Baada ya Tundu Lissu kuiambia Mahakama kuanzia leo atajitetea mwenyewe kwasababu Mawakili wake wamekuwa hawatendewi haki na hataki ije ionekane walishindwa kumtetea, Mahakama imekubali ombi hilo "Kwa haya ambayo nimeyasema mawakili wangu nawashukuru, walipambana sana, walipigana kitaalamu...
  11. JamiiForums Tanzania Wakili Wasonga: 'No Reforms No Election" sio Uhaini, Serikali iache Ugomvi na Vyama vya Siasa

    Wakili Godfrey Wasonga ambaye anadaiwa kuwa ni mwanachama kindakindaki wa CCM lakini anayaona mamho tofauti kabisa na wakubwa wake wa chama. Wakili Godfrey Wasonga anasema Lissu sio Muhaini. Anasisitiza kuwa kusema No Reforms No Election, hakuwezi kuwa Uhaini. Wakili Godrey Wasonga...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Benson Kigaila: Nilizungumzia Kesi ya Mbowe kwa kuijua, ya Lissu sijui alivyokamatwa. Mimi kulaani haisaidii chochote

    Benson Kigaila, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwasasa ni Kada wa CHAUMMA ameeleza kuwa wakati "Nilizungumzia kesi ya Mbowe ya ugaidi kwa kuwa nilikuwa najua mwenendo wa kesi ulivyokuwa, hii ya Tundu Lissu sijui alivyokamatwa" Kupata matukio na...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Fuatilia LIVE Kesi dhidi ya Tundu Lissu. Inasikilizwa muda huu mahakamani

    Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu inasikilizwa leo Mei 6, 2025 na itakuwa kwa njia ya mtandao. === UPDATE Link imekatwa na hivyo haitakuwa rahisi kufuatilia
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Jebra Kambole ahoji kitendo cha polisi kutaka kwenda kupekua nyumbani kwa Lissu bila amri ya mahakama

    Wakili Jebra Kambole kupitia ukurasa wake wa X anaandika; "Polisi wamefika nyumbani kwa wakili Tundu toka Usiku wanataka kupekua uhaini wa maneno! Tumieni akili kidogo unaendaje kupekua nyumbani kwa mtu bila amri ya Mahakama na bila ya mmiliki wa nyumba kuwepo? Au mnataka kumuwekea vitu vyenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…