Wakuu,
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu itaendelea kesho Agosti 11, 2026 saa tatu asubuhi katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam ambapo ndipo shauri hilo linaposikilizwa.
Neno la Lissu leo akiwa anatoka Mahakamani mara tu baada ya kesi yake ya Uhaini...
Kuelekea kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika ametoa wito kwa jeshi la Polisi kuupuzia taarifa za uongo wanazodai za 'Kiintelijensia' za baadhi ya Polisi kuwa wamepata taarifa wanachana wa chama hicho watafanya fujo na vurugu ili...
Nchi zilizoendelea hutamani kuwa na watu wa akili kama ya Lissu, akili ya kusaidia kuandika mikataba, akili ya kuandika Katiba akili ya kurekebisha ubora wa sheria.
Hii akili anaijua Anna Makinda kipindi cha Bunge la Katiba.
Zitto Zuberi Kabwe, Kiongozi Mstaafu wa ACT WAZALENDO akihojiwa na Clouds FM ameitaka ofisi ya kumuachi Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu bila masharti yoyote ili kuweka sawa baadhi ya mambo.
Zitto amenukuliwa akisema...
'DPP akiachana na kesi ya Lissu bila masharti yoyote nchi itafaidika...
Wazee wa Busara na hekima akina Warioba, Bagonza, ( sijui kama kuna wengine) tumieni buaara na hekima zenu kumshawishi Samia amuachie Lisu apate matibabu.
Butiku ameshakengeuka!
Nani mwingine tumuongezee hapa.
Hivi hawa ni watu kweli? Au serikali hii inaongozwa na Mashetani ila hatujui?
Mtu unamfungia jela miezi 10 ili hali ukijua kuwa Hana kesi ila unamkomoa, halafu una mleta mahakamani anakopambana na timu kubwa ya Mawakili wa serikali na chakula unamnyima?
Hivi watu wakishangilia vifo vya watu...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu anayekabiliwa na Kesi ya Uhaini inayosikilizwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam amesema kuwa mpaka sasa kesi dhidi yake imeshakwisha kutokana na ushahidi ambao umetolewa mpaka sasa na mashahidi watatu wa Jamhuri. Ameongeza kuwa kitakachoendelea...
Kada mwezangu wa CCM hapa umesema ukweli kabisa> Bi mkubwa amuachie huru kabisa huyu jamaa aendelee na harakati zake za siasa na chama chake.
============
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), David Nkindikwa (Kijana mzalendo) amemsihi Rais Samia Suluhu kuachana na kesi ya Tundu Lissu ambaye ni...
CHADEMA kupitia mitandao yake ya Kijamii, imetoa taarifa kuwa Jeshi la Polisi limeanza kupiga picha Mahakama Kuu Dar es Salaam ambako leo wanachama wa chama hicho wamekusanyika kusikiliza shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa chama hicho.
----
Tukio la Jeshi la Polisi kupiga picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.