kesi ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia aliunda tume kuchunguza mfumo wa Haki jinai, akumbushwe kumfikisha mtu mahakamani bila upelelezi kukamilika ni kukiuka Haki jinai

    Wadau, 2023 rais Samia aliunda tume ya kuchunguza mfumo wa utoaji haki....Haki Jinai, kuangalia namna polisi, Takukuru, kitengo cha madawa ya kulevya, magereza na ofisi ya mwendesha mashtaka zinavyofanya kazi zao. Tume ilianzishwa kutokana na malalamiko ya wananchi ya kila siku kuhusu idara hizo...
  2. JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Mahakama Kesi ya Lissu: Uthibitisho wa Umuhimu wa TLS kama " Shadow 4th Organ of the State"

    Baada ya Katiba kubakwa vibaya sana na Mhimili wa Serikali na Vyombo vyake ni TLS waliojitokeza kuikumbusha Mahakama na Vyombo vya Kikatiba kusimama kwenye nafasi zao bila kuogopa. Hatimaye Umuhimu wa TLS umeonekana Nchini. Hatimaye akili za Wazee wa zamani walioweka kifungu cha 4 cha Sheria ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jebra Kambole: Sisi mawakili tumekuja mahakamani kwanini wananchi wasije?

    Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, Jumanne Mei 06.2025 kesi mbili (2) zinazomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu zinaendelea kwa njia ya mtandao Mahakamani hapo Mmoja wa Mawakili wa utetezi Wakili Jebra Kambole...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu kupelekwa mahakamani na wananchi waruhusiwa kwenda kusikiliza. Kesi kuendelea Mei 19, 2025

    Wakuu, Huu ni muendelezo ya kilichojiri mahakamani, naona bunge la EU limetisha watu mpaka wamebadilisha gia, sasa kesi itasikilizwa katika mahakama ya wazi na wanachi wataruhusiwa kusikiliza kesi hiyo. ==== Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo, Jumanne Mei 06.2025 Mahakama ilikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Fuatilia LIVE Kesi dhidi ya Tundu Lissu. Inasikilizwa muda huu mahakamani

    Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu inasikilizwa leo Mei 6, 2025 na itakuwa kwa njia ya mtandao. === UPDATE Link imekatwa na hivyo haitakuwa rahisi kufuatilia
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpya: 6 May 2025 ni Zamu ya Mabalozi kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu Mahakamani, Je nao watatekwa na kutupwa Ununio? ngoja Tusubiri

    Hii ndio Taarifa mpya niliyopenyezewa kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika, Ni kwamba imepangwa Mabalozi wote wa Jumuiya ya Ulaya wahudhurie Kesi ya Tundu Lissu Mahakamani Bado haijafahamika lengo hasa la Mabalozi hao kumwagika kwa Wingi Mahakamani hapo, Japo Wadadisi wanahusisha Mambo ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ostadh Mazinge: Upo utaratibu wa kuomba Rais amuachie mtu, ukisema aachiwe mara moja ina maana una madaraka kuliko serikali

    Ustadh Mazinge anasema amesikia kuna mtu anaiamrisha serikali kwamba imto mtu ambaye yupo katika kesi. Amesema mbona wao wamewahi kukaa jela na habari kama hizo hawakuzisikia "Unaposema wewe unaamrisha kwamba yule atoke mara moja nu utovu wa nidhamu, utovu wa adabu. Huwezi kumuamrisha mkuu wa...
  8. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Nipashe wamechapisha taarifa inayosema Kibatala amtaka Lema kuacha kutumia kesi ya Lissu kujipatia fedha

  9. B

    JamiiForums Tanzania Kuna kosa gani CHADEMA kwenda mahakamani kesi ya Lissu? Mbunge Anatropia ahoji bungeni

    Kuna haha ya kuongeza neno hapa? Kwa hakika serikali ijitafakari.
  10. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Barua rasmi ya Tundu Lissu kwa Watanzania kutoka gerezani Ukonga

    Leo May 3, 2025, Tundu Lissu ametuma barua ya wazi kwa watanzania akiwa kolokoloni gereza la ukonga. Barua hii imechapishwa na Maria Sarungi kupitia mtandao wa X kama ifuatavyo, Barua rasmi ya Lissu kwetu sote! Alituma kwa Kiingereza neno kwa neno kupitia mtu aliyenifikishia na nimeweka hapa...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Warioba: Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri Bashungwa kutoa maoni kesi inayomkabili Lissu inaweza kutoa taswira mbaya kwa Serikali

    Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akitoa maoni katika kongamano la kitaifa kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025 lililoandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), amesema kwamba hatua ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa TEF Deodatus Balile awataka Waandishi wa Habari kuwa makini katika kuripoti kesi ya Lissu

    TEF yaonya waandishi wa habari kesi ya Lissu 02 May 2025 Picha: Mpigapicha Wetu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza na waandishi wa habari. Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amewaasa waandishi wa habari kuwa makini...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa dini wakiombea mitano tena ni wema, ila wakipinga unyanyasaji ni wachochezi na wahaini? Serikali mnafeli

    Wakuu, Yaani serikali, CCM mpaka mama mnaishangaza dunia, na kufanya hata tusiamini kwa huu ujinga na upuuzi mnatenda. Mama hadi alikenua Sheikh wa BAKWATA kumuombea ampe tulizo la moyo kwa kumpa mitano tena, hapo Sheikh alikuwa malaika, hana baya, ila ukiambiwa kweli ndio ukunje ndita? Vipi...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa maelezo ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bungeni, Maamuzi ya kusikiliza Kesi ya Lissu kwa njia ya Mtandao yanafanywa na Serikali na sio Mahakama

    Kila siku huwa nasema, Viongozi vilaza tunaopatiwa na CCM na mifumo yake ndio wanaolighalimu hili Taifa na hadi sasa linakufa Watanzania tukishuhudia kwa macho yetu. Kwa akili ya kawaida tu bila hata kusoma Sheria, huwezi tegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuzungumzia suala la kesi ya Tundu...
  16. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haya ndio magari wanatumia kusubilia watu ili baadaye waje kusema siyo wao?

    Salam Wakuu, Muliro ametoa statement leo akisema wao walimkamata Heche na Mnyika pekee na kwamba hawahusiki kwa wengine waliokamatwa na kuteswa. Wanachama wamehojiwa wakiwa wamepigwa na kuumizwa vibaya, kwamba wanatuambia walijiteka wenyewe na kujipiga? Siku ile ya kesi ya Lissu nilikuwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Kesi za Lissu: Kukatika kwa Mtandao na Kuzuiliwa kwa Watu kusikiliza Shauri ni uthibitisho wa Shauri hili Kuendeshwa kwa Mabavu kinyume na Haki

    Mtuhumiwa Tundu Antipass Lissu akiamini shauri lake linapaswa kusikilizwa kwa wazi kwenye Mahakama ya Wazi inayoruhusu watu kuingia na kufuatilia mwenendo wa Kesi amegoma kesi yake kusikilizwa kwa njia ya Mtandao ambayo kimsingi sio njia ya Wazi ya usikilizwaji wa Shauri. Tundu Lissu amekuwa na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri mahakamani kwenye kesi ya Tundu Lissu, leo Aprili 28, 2025

    Afisa wa Magereza amesema hayuko tayari kwa utaratibu wa virtual Mheshimiwa Mrema wakili wa serikali anatambulisha jopo la mawakili wa serikali kwa upande wa jamhuri yupo pia Thawabu Issa, Cathbert Mbiringe, Harrison Lukosi. Upande wa utetezi wapo mawakili wafuatao 1. Mpale Mpoki 2. Dr...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Hata mimi hawataki nikamuone Lissu gerezani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Bara CHADEMA John Heche akiongea kwenye kongamano wagombea serikali za mitaa 2024. Kongamano hilo lililofanyika ukonga jijini Dar es Salaam lakuwakutanisha wanachama wote wa mkoa wa Dar es salaam kujadili ajenda mbalimbali zinazoendelea kwa...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania WITO WA KWENDA KISUTU KWA WINGI KESHO KUSIKILIZA KESI YA LISSU

    Nasema hivi kwa sababu mpaka sasa hatujasikia zuio la hakimu anayeendesha kesi kukataza wananchi wa kawaida kuhushuria kesi hiyo ya wazi. Amri ya polisi ya kuzuia wananchi kuhudhira mahakaman kwenye kesi ya wazi, kamata kamata, kuteka na kutesa watu wliohudhuria ilikuwa ni uvunjifu mkubwa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…