kesi ya chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    Kesi ya CHADEMA Manyara, Mahakama yatupa pingamizi la Ofisi ya Msajili

    Mahakama Kuu Kanda ya Manyara imekubaliana na maombi ya Chadema ya kuendelea na kesi ya msingi, huku ikitupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa dhidi ya chama hicho kuendelea na kesi hiyo. Kesi hiyo iliyosikilizwa leo Oktoba 2, 2025 na Jaji Nenelwa Mwihumbi...
  2. tonicimmobility

    GE2025 Kesi ya CHADEMA kuhusu mgawanyiko wa mali

    Kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi la Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inaendelea leo, Jumatano Septemba 10.2025 kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania...
  3. Roving Journalist

    GE2025 Hatma ya zuio la shughuli Kisiasa kwa CHADEMA kujulikana leo Agost 18, 2025

    Kesi ya madai dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho inatajwa leo, Agosti 18, 2025, katika Mahakama Kuu. Shauri hilo Na. 8323/2025) linahusu zuio la kufanya shughuli za kisiasa lililotolewa na Mahakama tarehe 10 Juni 2025, ambapo baadhi viongozi wa CHADEMA walizuiwa...
  4. Roving Journalist

    GE2025 Jaji Mwanga kuendelea na Kesi ya CHADEMA leo Agosti 7, 2025 baada ya kukataa kijitoa

    Leo, Agosti 7, 2025, Jaji Hamidu Mwanga anatarajiwa kuendelea kusikiliza Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Zanzibar, Said Issa Mohammed, dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho. Inatarajiwa leo mahakama itasikiliza...
  5. Lord Denning

    Mahakama kwa kulinda Integrity na Trust ya Mahakama itisheni faili ya Kesi ya CHADEMA inayosimamiwa na Jaji Hamidu mfanye mapitio

    Nakujua vizuri wewe ni msabato safi unayependa Haki pamoja na mapungufu yako kama binadamu. Sidhani kama mnajua picha mnayojenga Mhimili wa Mahakama hasa kwenye kuaminika na kutenda Haki kwa Wananchi na Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kutokana na mwenendo mliokuwa nao miaka ya hivi karibuni...
  6. Roving Journalist

    GE2025 Jaji Hamidu Mwanga akataa kujitoa kwenye kesi ya CHADEMA

    Jaji Hamidu Mwanga, anayesikiliza hoja za ombi la kutaka ajitoe kwenye Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar, Said Issa Mohammed, dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho, amesema kwamba anakataa kujitoa kama ilivyoombwa, kwa...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Sioni sababu ya kuilaumu CCM na Mahakama Wakati aliyefungua Kesi ni Mwanachadema

    Hamjambo Wote! Sipendi watu wanaolaumu wengine Kwa Makosa Yao. Kulaumu wengine kwa Makosa uliyoyafanya ni kukimbia uwajibikaji. Kwenye Pambano lolote, huwezi mlaumu adui au timu pinzani kwa kutumia watu wako Wasiowaaminifu. CHADEMA wanachangamoto ya watu Wasiowaaminifu ambao ni rahisi...
Back
Top Bottom