Hali ya mvutano imetokea baina ya mawakili wa Jamhuri na baadhi ya mawakili wa upande wa Tundu Lissu, pamoja na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakigombea sehemu ya kukaa ndani ya ukumbi wa Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam.
Mvutano huo ulijitokeza baada ya...
Habari wakuu,
Kila inapofika kusikilizwa kwa Kesi za Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu huwa kunaibuka mvutano au sintofahamu ya kuwepo Maaskari katika namna isiyo rasmi eneo wanalokaa wanachama wa CHADEMA au eneo la wasikilizaji kesi Mahakamani huku wanachama wakitaka waondoke
Lakini cha...
Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiwa ndani ya chumba cha Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakiomba kutolewa nje mtu mmoja aliyedhaniwa ni askari ambaye ameenda kukaa katika benchi la wafuasi hao
Leo Septemba 8, 2025 Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu...
"Katiba yetu inasema watu wote ni sawa na watawajbika kwa mujibu wa sheria, kwa maneno mengine hakuna mtu yeyote ambaye yuko juu ya sheria isipokuwa kama sheria hiyohiyo inampa kinga kwamba hawezi kwa mfano kushitakiwa au hawezi kwenda kutoa ushahidi", - Wakili Alute
Wakili Alute Mughwai, mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.