BM ni mojawapo ya mabasi ambayo imewekeza na kuingia kwenye usafiri na usafirishaji wa parcel kwa nguvu sana. Wana mabasi mengi sana route ya DAR-ARUSHA.
Wasafiri wa kanda hizo wanapenda luxury sana, ukipeleka bus lako ngwarngwara huwezi pata abiria. Wao kulipa TZS 87,000 kwa 2 X 1 seat sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.