kero ya barabara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kero ya barabara kwa wakazi wa Kata ya Kimala wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa

    Sisi wakazi wa kata ya Kimala Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa tumekuwa na kero ya Barabara ya kuingia kwenye kata yetu. kata hii ina vijiji 4 ambavyo havina Barabara za uhakika za kupita mwaka mzima. Kwenye kipindi hiko cha mvua, Barabara huwa mbaya na mbovu na kama tukipata mgonjwa yatupasa...
  2. Nyendo

    KERO Hali ya Barabara Ipole – Tabora ni mbaya hasa mvua ikinyesha

    Hiki ni kipande cha Barabara inayotoka Ipole – Tabora kuelekea Mbeya, hali ni mbaya sana, wananchi tunateseka kwa kushindwa kupita kwa utulivu. Kuna muda abiria tunalazimika kushuka ili gari liweze kupita na kuvuka mashimo yaliyopo hapo hasa nyakati za mvua. Serikali ifanye kitu kuhusu...
  3. A

    DOKEZO Kuna ufisadi wa kutisha MAMCU LTD

    Ufisadi wa kutisha unaendelea kwenye Ushirika wa Korosho,Mtwara Masasi Union Co operative(Mamcu). Kulipana Posho na Safari za nje Viongozi wamekuwa walipwa posho bila kufanya kazi(Hewa] na Kutengeneza safari za nje ambazo hazina tija kwa ushirika Mfano Mwaka jana na mwaka huu wamefanya safari...
  4. A

    KERO Kero ya barabara ya mtaa wa Songea

    Serikali imejenga barabara ya mtaa wa Songea kwa kiwango cha lami ila serikali hiyo hiyo imeruhusu watu wapaki pembeni ya hizo barabara na zitumike kama garage hii hufanya barabara ya kuharibika na pia imekuwa kero wananchi kufika kwenye majumba yao na kupishana ni tabu vile magari yamepaki pembeni
  5. platyhelminthesis

    KERO Kero ya barabara ya Machinjioni- Kakebe Mwanza

    Barabara hii ni muhimu kwa shughuli za kiuchumi kwa maana kuna viwanda vingi maeneo hayo, soko kubwa la vyakula na machinjio kubwa ya ng'ombe. Jambo la kushangaza kuna daladala zinazoenda maeneo mbali mbali ya jiji zinapita hapo ila barabara ni mbovu kupitiliza na haipitiki vyema kipindi cha...
  6. S

    KERO YA BARABARA: SMZ NA WIZARA HUSIKA, NI SABABU IPI INAYOFANYA BARABARA YA BWAWANI MALINDI ZANZIBAR ISITIWE LAMI!!!

    Kwanza kabisa nisiwe mkosefu wa fadhila nimshukuru Rais Mwinyi kwa maboresho makubwa ya barabara mbalimbali ambayo yamevunja rekodi. Lakini jambo la kustaajabisha kuna hii barabara muhimu iliopo Malindi kituo cha polisi kuendea Bwawani ambayo ni kero kubwa kwa sisi wakaazi wa hapa kwani ina...
  7. M

    KERO Dar: Barabara Kisarawe II Wilaya ya Kigamboni haijafanyiwa matengenezo tangu mvua za Mwaka 2024

    Ni toka mvua za mwaka jana 2024 mpaka leo barabara za Kichangani kuanzia Shule, Kisimani hadi Msikiti wa Mzee Nandule, kote huko njia hazipo ni kama vile Serikali imesahau kuwa kuna watu wanaishi huko. Mbali ya kuwa Wananchi wamejichanga na kutafuta vifusi ila mkandarasi wa Barabara ya Kibada -...
  8. A

    KERO Barabara ya Toka Musoma kwenda Sirori Simba/Mugumu haijafikia asilimia 30 tangu ianze kujengwa

    Hii barabara imeanza kujengwa zaidi ya miaka kumi iliyopita lakini hadi leo hata haijafikia asilimia 30. Tangu ianze ina kandarasi zaidi ya ya 4, ni nini hasa kinafanya hii barabara isimalizike. Tena barabara yenyewe haikuanzia Musoma. Ilanzia mbele kidogo ya Zero zero. Hadi sasa hivi imefikia...
  9. M

    KERO Barabara Mkuranga siyo nzuri, kuchonga tu pekee haitoshi

    Jimboni kwa Mbunge Ulega hali ya barabara sio nzuri, wasaidie wakazi badala ya kutumia nguvu na pesa nyingi kuchonga.
  10. B

    KERO Barabara iliyojengwa Keko ni ya kupita gari moja tu, gari likiharibika itakuwaje?

    Wakuu habari zenu, Nimepita maeneo ya Keko, kuanzia chuo cha Diplomasia kwenda Chang'ombe Mataa, kunajengwa barabara, ya mwendokasi. Lakini barabara ya kawaida sijaielewa, kwenda ni gari moja, kurudi ni gari moja. Hivi ikitokea gari limeharibika njiani itakuwaje? Wanaohusika naomba mlitafakari...
Back
Top Bottom