Naendelea kuamini nchi imeharibika.
Tupo hapa SGR Head Office Station. Tukiwa ndani ya lounge ina kiyoyozi lakini tumelowa jasho.
Ilikuwa tuondoke saa 12 jioni kuelekea Dodoma mara bin vuu tunambiwa treni ya Dodoma hamna.
Mara mvua inanyesha Dodoma hivyo haiwezi kwenda, mara abilia wachache...