kazi ya ualimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kazi ya ualimu ukiiacha mizimu ya kwenye lazima ikushukuru

    Nimeona mwalimu kafungwa maisha Kwa kosa la kuchapa mwanafunzi, huwezi kumsikia mkurugenzi, afsa elimu au mtu yoyote anaehusiana na mwalimu kufika mahabusu kumsalimia au kumtia moyo ukizingatia hiyo mwalimu alikuwa anafanya kazi ya mkurugenzi. Siku zote nawashauri walimu nenda shule kazuge...
  2. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi ya Ualimu Shule ya Ellen White

    Shule hii imetangaza zaidi ya nafasi 28 za walimu. Shule inapatikana Dodoma na yeyote anaweza akaomba. Maelekezo Zaidi juu ya namna ya kuomba na Taratibu zao Soma Hapa. Kitu cha tofuati kuhusu shule hii ni kwamba, inakwenda na wakati, mfumo wake wa maombi ya kazi ni kama ule wa ajira portal...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu masomo ya Sayansi

    Habari Mimi ni kijana wa miaka 27 nimehitimu shahada ya kwanza mwaka 2023, natafuta shule ya kufundisha kwa masomo ya mathematics, physics, biology na chemistry kwa primary, ordinary level, na advance pia Niko tayari kwa interview muda wowote nitakaohitajika Ahsante Mawasiliano; 0635198791
  4. F

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Kazi St Patrick Hill School Kiserian

    Shule ya sekondari St Patrick Hill School Kiserian iliyopo Kiserian nchini Kenya inatangaza nafasi za kazi kwa walimu. Mshahara ni shilingi 350,000 kwa mwezi. Tafadhali fahamu kuwa mshahara hautalipwa wakati wa likizo za shule katika miezi ya Aprili, Agosti na Desemba. Kwa maelezo zaidi au...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi Nyerere alivyofanyiwa hila hadi kuacha kazi ya ualimu

    Kitabu Uamuzi wa busara kinazungumzia maamuzi mbalimbali magumu yaliyofanywa na Mwalimu JK Nyerere na TANU. Kuanzia Mwalimi kujiuzulu kazi ya ualimu, TANU kuamua kutosusia uchaguzi, Mwalimu kujiuzulu ubunge, Mwalimu kujiuzulu Uwaziri Mkuu, Muungano, Azimio la Arusha. Kinapatikana ndani ya app ya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu wa daycare

    Habari za wakati huu wapendwa, Mimi ni binti wa miaka 27 Ninapenda kuwataarifu kuwa natafuta nafasi ya ajira kama mwalimu wa watoto wa awali (daycare) hapa Bukoba Nimekuwa na uzoefu wa zaidi ya miaka miwili kufundisha kwenye shule ya English Medium, ambapo nilifanya kazi kwa upendo, uvumilivu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu masomo ya Kiswahili na Literature

    Natafuta kazi ya kufundisha Secondary Kiswahili na Literature. Nimesoma, bachelor of education in adult education and community development
  8. JamiiForums Tanzania Karibuni kwenye Kazi ya ualimu, lakini usiwe na matarajio makubwa

    Naongea kutokana na uzoefu kidogo, nineona kwenye interview vijana wakipanga mistari mirefu kupambania ugali wao, wengine wamekaa mtaani zaidi ya miaka 10, na bado wapo wanapambana kwenye usahili, Utakapo pata nafasi ya kuingia kwenye ajira, Moja Kwa Moja na utakutana na watu uko kazini wakiwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hayawihayawi hatimaye yamekuwa: Mliokuwa mnasubiri Ajira za Ualimu nafasi zimetangazwa

    Hayawihayawi hatimaye yamekuwa, mliokuwa mnasubiri Ajira za Ualimu nafasi zimetangazwa. Kazi hizo hapo chini zimeambatishwa
  10. JamiiForums Tanzania Usipokuwa makini na kazi ya ualimu utakufa kwa Msongo wa Mawazo

    Hii kazi ina mshahara mdogo sana. Ni pesa ambayo bodaboda wanapata kwa wiki mbili au tatu. Acha tu, mungu wasaidie walimu wanaishi maisha ya ajabu sana, Kila mwaka madarasa yanajengwa ila huwez kukuta nyumba za walimu zinajengwa Madarasa ya vioo na tiles Ila nyumba za walimu mbovu sakafu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nataka niache kazi ya ualimu nijikite zaidi kwenye biashara

    Maneno ya huyu mhasibu yamenikera sana. Bora kuuza Kangala na kufanya biashara. " Mimi sio kama walimu, mshahara ukitoka siku mbili tu hawana kitu" Mhasibu wa halmshauri yetu. Mbaya zaidi anakula na demu wako.
  12. JamiiForums Tanzania Nashindwa Kuapply Kazi ya Ualimu kupitia Ajira Portal

    Nina Bachelor degree of Education in Psychology, Lakini Masomo ya kufundishia nilisoma History na Kiswahili. Cha ajabu kila nikiomba kazi ya ualimu wa History mfumo Unaandika "Failed" Mwenye kujua suluhisho tafadhali naomba Msaada. Nataka kuomba hizi nafasi za ajira.
  13. JamiiForums Tanzania Makato anayokatwa Mwalimu mwenye Digrii kwenye mshahara

    TURUDI DARASA LA QWANZA KIDOGO. 1. 15%- HESLB LOAN =115,650/- 2. 2%- CWT contribution. =15,420/- 3. 5%- SECURITY FUND. = 38,550/- 4. 25%- PAYE. =192,750/- 5. 3% - NHIF. =23,130/- TOTAL:-...
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi za Ualimu wa Kemia, Baiolojia, Historia na Jografia Shule ya Jifunzeni Mbeya

    Urgent call: Wanahitajika walimu wawili mmoja wa somo la KEMIA NA BAIOLOJIA na mwingine HISTORIA NA JOGRAFIA. NGAZI YA ELIMU: Awe na shahada ya Ualimu. VIGEZO: Mwalimu mahili na mbobevu kwenye SoMo lake na mwenye uzoefu WA kutosha kufundisha KIDATO CHA KWANZA HADI CHA SITA. MAHALI: MBEYA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…