Ukisikiliza hii video ya huyu Gen Z utaona mwendelezo wa tabia isiyo ya kawaida katika jamii, hasa viongozi wanapofariki, wananchi badala ya kuomboleza hucheka na kufurahi. Katika siku za hivi karibuni, vifo vya viongozi wa umma vimekuwa vikikabiliwa na kejeli, mzaha na kubezwa badala ya huzuni...
Wanabodi
Mungu na Shetani
Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani
Mimi ni Mkristu Mkatoliki,kwa kawaida huwa nasali misa ya kwanza,ila kwa vile leo ni sikukuu ya Jumapili ya Matawi,mwanzo wa Juma Takatifu,Mwokozi wetu Bwana wetu Yesu...
Kama kichwa Cha habari kinavyosema, kazi kubwa kabisa ya MUNGU ni ipi?
Kama MUNGU alituumba tuishi duniani kwa haki upendo na ushirikiano, alafu kuna watu wanakiuka haya yote je wanaadhibiwa ipasavyo?
Lakini pia huwa najiuliza sana je maskini hapa duniani hana haki ama? Maana maskini ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.