kazi ipo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania FT: Bayern München 0 - 1 PSG | UEFA Semi Final 2nd Leg | Allianz Arena | 6 Mei 2026

    Bayern Munich Vs PSG; Leo! leo! leo! kazi ipo Ubavu chuma upande mwanaume mashine Bayern Munich, wakiwa nyumbani katika dimba la Allianz Arena mbele ya mashabiki wao, wanawakaribisha Paris Saint-Germain kwenye mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League. Mchezo huu utapigwa saa nne...
  2. JamiiForums Tanzania Hawa ndio role model ya mabinti wa leo kazi ipo

    Zingatia picha na chanzo cha kipato
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na huu ujumbe, vijana kazi ipo

    Hivi Sasa ni mwendo wa kuwindana, kila mtu anakula timing kwa mwenzie. Ila huu ujumbe unafikirisha sana
  4. L

    JamiiForums Tanzania Gusa Achia Twende Kwako imeanza kufanya kazi, kazi ipo

    Mashine ya Mjerumani imeanza kazi huko DRC ambapo ile falsafa ya Gusa Achia Twende Kwao imeanza kufanya kazi ambapo mkongo kakimbizwa isivyo kawaida kipindi cha pili hadi akaamua kuachia, ilikuwa Gusa Achia Twende Kwao mwanzo mwisho na kama refa angaliongeza dakika 10, Gusa Achia Twende Kwao...
  5. JamiiForums Tanzania Uchawa umezidi sana kwenye siasa hadi kero hawa wanaojita machawa wa mama mh kazi ipo

    Uchawa umezidi sana kwenye siasa hadi kero hawa wanaojita machawa wa mama mh kazi ipo Miongoni mwa kipindi cha Urais chenye machawa na vikundi vya uchawa ni kama hivi sasa ni balaa sana je hili ni jambo sahihi katika siasa zetu
  6. JamiiForums Tanzania Hizi ndio mada chokonozi za Media za Tanzania, kazi ipo!

    Jisomee Mwenyewe halafu toa maoni yako.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kazi ipo: CAG awajibu wawakilishi waliomtaka aombe radhi

    Unguja. Sakata la Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar la kumtaka Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Dk Othman Abbas Ali kuwaomba radhi limeibuka kivingine, baada ya Dk Ali kuibuka akisema “hao wanajifurahisha.” Wakati CAG akieleza hayo, Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la...
  8. JamiiForums Tanzania Hakuna Gari za moja Kwa moja Iringa to Geita zinazopitia Kahama?

    Kwema Wakuu! Hivi hakuna Gari za moja Kwa moja kutokea Iringa au Njombe au Mbeya zinazoelekea Geita kupitia Kahama? Au ni Basi gani ambalo linapita Dodoma mida ya saa nane au saa tisa mchana likielekea Geita ya Kahama kutokea Dar es salaam? Majibu tafadhali!
  9. JamiiForums Tanzania I'm very hurt today, but I have no way.

    Just Read: Hello. how are you doing? I am from the Caribbean family and i live in Dallas, TX I want a website design for my Wife Restaurant opening soon and I will like you to use this image for the new website for my wife Restaurant. {link kapuni} This is what i want you to create for my...
  10. JamiiForums Tanzania Iringa (V) Kama Hii ni Kweli Basi Kazi Ipo

    Nilikuwa nawasikiliza wazee fulani kwenye mjadala wao hapa mijini, wanashangaa maamuzi ya kujenga ofisi za Halimashauri ya Iringa Vijijini huko Ihemi, yaani kilomita 155 toka Mtera na kilometa 130 kutoka Ruaha Mbuyuni, ikimaanisha wananchi kutoka maeneo hayo mawili Mtera na Ruahambuyuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…